Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Amani iwe juu yenu wadau wote JF. Nilikua nauliza kwa anaejua wapi naweza kupata tende (in large quantity) kama vile 20kg box au zaidi.Yaani kuna yale maduka huwa wanauza tende kwa jumla (ma box...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza simu hizo kwa bei rahisi wasiliana nami kupitia 0758728258,0688080008 Samsung galaxy s4 mpya 390,000 Samsung galaxy s3 mpya 320,000 Iphone 5 used(black 470,000) Maongezi yapo wasiliana nami...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
BISHARA MATANGAZO!! GENERATOR LA MTUMBA LINAUZWA LIMETUMIKA MASAA MACHACHE LINA KVA 4400 LINA TAN 14 SINGLE NA 3 PHASE V 230 KWA 6300 LIMETENGENEZWA JAPAN NA CAMPUNY YA MITSUBISHI BEI YAKE NI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninauza Ovena aina ya STERLING ni nzuri na inafanya kazi kama kawaida. Naiuza kwasababu ninashida sana. Bei yake ni 200,000 tu karibuni sana. Kwa mawasiliano piga 0717441943 na 0655441943 na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau, Nahitaji king'amuzi cha startimes ambacho kimetumika. Kipya nimeahindwa bei. Nipo arusha namba ni 0717 602392
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina 3.5M nahitaji used Toyota vtz ya 2005
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza samsung S3 na S2 S3-Tsh 330,000 S2-Tsh 280,000 Contact 0716 102 754 Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Kiwanja kinauzwa mbezi makabe, njia panda ya msakuzi. Kina ukubwa wa meter 45 kwa 28. Huduma za kijamii kama umeme na barabara vipo. Kina ukuta pande 3 tayari. Bei ni 22m...mnunuzi apige 0784 966 977
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza Lipo Korogwe kambi ya maziwa ni Lina ukubwa wa heka tano. Mawasiliano 0754 344020 Karibu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kina ukubwa wa meter 45 kwa 28... Huduma zote za kijamii zipo kama umeme na barabara. Kina kuta pande 3 tayari. Bei 22 million. Serious buyer: 0784 966 977
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Model: DH6630T Full HD USB direct recording & playback Bass blast Karaoke Bluetooth Price: 680,000 Contact: 0713086602
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Gar yangu mwenyewe na ina jina langu For more details nichek 0757865489
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika nakichwa cha habari tajwa, nauza oven mpya kabisa kwa Laki mbili na 20.no.yangu 0744089442
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wakuu; Ninauza kiwanja/shamba. Ukubwa ni SQM 400 Eneo kilipo ni Bunju B, Bei ni 4M. Kiwanja kipo sehemu nzuri, maji yapo, umeme nao tayari umeshafika eneo husika. Kwa anayehitaji...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nipo Kinondoni studio bei inapungua0712505049 ni elfu 70 kwa moja.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji matofali ya Kuchoma (Sio Inter-locking) kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo maeneo ya Mbutu-Kigamboni. Matofali haya ni yale yanayopatikana kwa kuchomwa tofali la udongo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kwa anayehitaji shamba kwa ajili ya kulima nakodisha.Msimu ushafika kwa wilaya ya Handeni tunaanza kulima mwezi ujao. Iko kuanzia heka 1 mpaka 10 au ukitaka zaidi, liko sehemu moja. kwa...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Natafuta nyumba ya kupanga, Maeneo - Kijitonyama, Kurasini, Mbezi Beach, Tankibovu, Mikocheni, na Msasani Sifa, Chumba - 1 au 2, Sebule, Parking Bajeti - Laki 2 hadi 2.5.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
500GB.mint condition,slim and portable...bei 120,000/=MAELEWANO YAPO...0719440158
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Natafuta nyumba ya kupanga chumba na sebule maeneo ya Kinondoni au Magomeni. Nyumba iwe ndani ya fensi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…