Kwa mahitaji ya spear used za magari ya Europe iwe Audi, BMW, BENZ,Vw, Ranger rovers
Iwe fundi & tajiri kwa mahitaji yeyote ya spear parts used na bora wasiliana nasi 0613010190
Hizi ni baadhi ya aina za Writeups kwa ajili yako mpambanaji:
1) A business plan for a startup farming business
(Mtaji kuanzia 2ml to 20ml), gharama zake sh 350,000
2) A business succession plan...
Nina jumla ya uzoefu wa miaka 7 (saba) kwenye masuala ya kibenki na utoaji na upembuzi wa mikopo.
KWa uzoefu wangu huo, ninaelewa mbinu na namna bora ya kufanya ili usisumbuke kupata mikopo...
BODA SALAMA
BimaJanja kwa Boda Mjanja!
ACCLAVIA INSURANCE GROUP ni kampuni ya bima inapenda kuwatangazia wamiliki wote wa pikipiki bima ya boda salama.
Unakata bima kwa Tshs.56,000/= (Elfu...
KUPITIA SISI KUMILIKI TV NI KITU RAHISI JIPATIE TV KWA BEI YA KIWANDANI KUTOKACHINA KAMA IFUATAVYO
SPECIAL BIG ODA TV SMART
BRAND:SAMSUNG / LG
💫32@160000
💫43@300000
💫50@480000
💫55@500000...
Uko tayari kuanza safari? Kodi gari kwetu kwa safari isiyo na usumbufu, iwe ni safari fupi au ya mbali!
Weka nafasi sasa na uendeshe kuelekea uhuru wako
+255 655 633 302
Wakuu habar zenu
Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube
Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha
Simulizi ziwe interesting na za kusisimua
Sharti uyo mtu...
Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli.
Pia nina huduma hizi kwa waliopo...
Karibu JSL COURIER kwa huduma bora ya kuhama na kuhamisha vitu kutoka mtaa A kwenda mtaa B na kutoka mkoa A kwenda mkoa B.
Huduma zetu ni nzuri, nafuu na uaminifu ni mkubwa mno.
Usisumbuke tena...
Habari za weekend;
Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku.
Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha...
Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school
Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters
Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko
Inatank la maji la lita 3000
Bei ni 170M...
Ushauri kwa wafugaji wenzangu mliopo humu
Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa.
Itakusaidia katika ufugaji wako.
1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri...
Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania.
💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja!
✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi.
📍 Eneo: Upo Dar es Salaam...
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda...
Habari wakuu,
Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji pure kwa dodoma jiji. Ninauza tray 17,000. Pure kienyeji.
Karibuni sana.
Ninapatikana Dodoma Mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.