Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iko katika hali nzuri,inatumia line 2,ni simu ya adroid na windows.inakuja na cover tu. Bei ni 100,000/= Kwa mawasiliano piga 0654757570. Napatikana Mwanza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba ya kisasa zaid ina vyumba vtano vya kulala pamoja na master bedroom 3 za kisasa zilizoekewa system ya maj moto na barid,sitting room kubwa ya kisasa, dinning, jiko ,store,public toilet...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hhhhhjj
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Kiwanja kilichopimwa na wzara kpo mita 600 kutoka barabara ya lami kuna nafas kidogo ya mazungumzo Contact: 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Silver, chini ya 100000km,docments halali,body isiyo na mkwaruzo wwt,fundi atakagua bajeti 8-9m kulingana na hali ya gari .mawasiliano 0688195219 vizuri ukituma picha watsapp
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Viwanja vipo kweny Raman ya makaz ukubwa 20/20
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Wadau poleni na kazi. Natafuta freezer ndogo ya kuuza ice cream. Naomba msaada wapi nawezapata na being yake. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tengeneza blog Yako hapa Kwa bei chee 0719319433/0762117898
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Mwenye hiyo Suzuki vitara bodi Tu naomba tuwasiliane isiwe imechoka saaana 0754459572
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Salaam wadau...nahitaji mtu anatengeneza business cards nzuri na zakisasa kwa bei Nzuri. Kama yupo pls tuwasiliane.0689900000 au anipm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta playstation 4, mwenye nayo aniPM
0 Reactions
0 Replies
673 Views
A leading vehicle tracking and assets management company is looking to provide you with its best solutions that may add value to your operations. Contact:0762353296
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za usiku!! Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, naomba kujua wapi na weza kupata Kubota kwa Mbeya pia bei gani. Pia vipi kwa Dar zina patikana maeneo gani na kwa shingapi...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Pata simu kwa bei poa kabisa Samsung Galaxy S3-350k S4-395k S5-496k S6-1.24m S6 edge - 1.55m S6 edge plus - 1.78m Samsung Galaxy Note 1-292k Note 2-393k Note 3-532k Note 4-750k Note...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza Pikipiki ya Gurudumu Tatu Kwa Tano ( Mkombozi). Tsh. 1,500,000/= Ipo Gongolamboto. Piga 0755827080 kwa mnunuzi wa kweli tu.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nitaftie Tata bus used (eacher) na bei yake kwa matumizi ya mkoani me nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brandnew IPhone 5s for sale Full accessories(No Box) All in Silver in colour 16GB Internal Storage Price 600,000 Contact 0784780955
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Kwa mahitaji ya Fundi Bomba mzuri,wasiliana nami kwa 0625480910/ 0714441625,kwa ushauri,maoni, na nk, Kwasasa nimerudi Dar,baada kumaliza kazi Mbeya
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu siku ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni niliona kamera wanapiga picha na kumpatia picha mteja papo hapo nikaona hata mimi inafaa nikimnunulia mdogo wangu bush hana issue tafadhali mimi si...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Nafanya huduma ya ushereheshaji na uandaaji wa events, pia ni mnenaji mhamasishaji wa vijana kuwasaidia vijana kujitambua na kutambua ndoto zao na namna ya kuweka malengo na kuyafikia. 0672060757...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…