Hello wanajamvi, jaman habar njema Nyumba tatu za hostel zipo SABASABA, zinauzwa bei ni maelewano, zote zina hati, kamili ya kumiliki ardhi, zina uwezo wakubeba wanafunzi 60 kwa muhula.
zipo...
Ndugu mteja, Nyumba hii ina jumla ya vyumba vinne (4), jiko1, choo cha public 1 pamoja na frems mbili 2 za maduka kwa upande wake wa mbele.
Nyumba hii ipo Chamazi Saku Iruru, inauzwa kwa Tsh 60...
Habari wanajamvi,
Kama nilivosema apo juu,waweza kubadili mwonekano wa gari kwa bei nafuu na kwa style yoyote unayotaka, na shape yoyote utakayo, ni garage yetu kwa sasa tumejaribu soko kwa...
About Big One Enterprises
Big One enterprises(logistics )
Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama,mda,usumbufu katika sekta ya upauaji,tumejikita katika kuokoa gharama na kumpunguzia mteja gharama...
Nauza mafuta ya Nazi asilia.
Rejareja bei ni Sh.8500 tu kwa chupa ya ujazo wa Ml.200.
kwa jumla ni 84,000 chupa 12. Unaletews ulipo kwa wakazi wa Dar.
Napatikana ubungo River side.
karibuni...
Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani.
It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @8000 kwa meter
It 4&it5(migongo...
Wadau mwenye baiskeli yenye hali nzuri naihitaji kwa ajili ya dogo kuendea shule kwani mambo yangu sio mazuri kwa sasa kuweza kununua mpya.
Iwe na gia kwani huko ni eneo la milimani. Mimi nipo...
Habari za siku ya leo ndugu yangu, leo nisiku nyingine tena ambayo nawalete habari njema juu ya makazi ya mwanadamu.
Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia...
Nyumba ni nzuri sa kisasa zenye parking kubwa na full security. Kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala sitting room dying room kitchen na ndani kuna kila kitu unaingia na begi lako la nguo...
Nina mihogo kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2 lipo mlandizi ninatarajia kuvuna mwezi wa saba ni muhogo aina ya ndope natafuta mteja atakaye nunua mihogo yote au hata heka moja sio mbaya shamba...
TRACTOR NA COMBINE HARVESTER MACHINE INAUNZWA
HARVESTER ipo madhubuti sana na ina hali nzuri,na inafanya kazi vizuri sana.MIL34 TSH
tractor zipo katika hali nzuri MASSEY FERGUSON 178 bei ni...