Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji kujua garama ya kutangaza jf kwa mwezi. Pia jinsi ya kubadili username naomba kuwasilisha
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye kuuza vitunguu vya China kwa jumla kwa boksi ra kg 10 sh ngap??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Lenovo S856 Colour-Gold Dual sim Capacty- 8g New(full box)fast charger Price 350k Call 0656-816616
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua wap wanauza nawez kupata na bei yake kw hpa kwetu...kinajulikana kw jina la dr dabber
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Msaada, Wapi naweza kununua nyama ya sungura jijini dar es salaam?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo dar natafuta vifaa vya bei ya jumla kama flash, memory cards, card treaders, photo printer, USB, memory card adoptors n.k. pamoja na fenicha za maofisini used (office chair used, meza yenye...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Nauza wallets za ngozi,, za kike na kiume nipo dar,, ni wallet nzur za kisasa,, wahi sasa mawasiliano ni 0688121308,follow account yetu ya instagram Follow@bestlleatherwallets
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu, kwa wale wazoefu tafadhali naomba msaada wa maelekezo kuhusu utaratibu muhimu wa kufata katika ununuzi wa nyumba, Maana hali ilivyo kwasasa naweza nikaingia katika mikono ya matapeli...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ipo -Dar es salaam Tz Mahali-Kimara Baruti via morogoro road -------------------------------- Ukubwa wa Kiwanja - Nyaraka za umiliki Ina-mkataba wa mauziano Toka serikali za mtaa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Natafuta mwenye kuuza vitunguu swaumu vya China boksi ra 10kg sh ngap Msaada wakuu
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Nyumba ipo mapinga, nyuma ya secondary ya Baobab. Umeme na maji vipo karibu. Bei ni 12million negotiable. contact 0716548250.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar Wanajamv Nauza Dslr Yangu hiyo Canon D1200 kwa 1.2M Ni mpya bado ina chager na lens 2 km unavyoiona!!! kama unahitaji njoo whatsapp au nipigie 0712988560
0 Reactions
0 Replies
5K Views
nahitaji kutengenezewa website wakuu ni pm nikupe deal
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba imejengwa kisasa -> master bedroom 1(ft 12×10) ->single rooms 3(ft12×10) ->sitting room kubwa ya kisasa ->public toilet 1 ->uwanja 20×20 ->huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu ->Kuna nafas...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa ipo sinza vatican 30m kutoka barabara ya tandale 100m kutoka shekilango road 4 bedrooms 1 master Sitting room Eneo la parking 20*30 Price 160M. Kwa picha niPM namba yako nkuchek...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari wana janvi, Natafuta mteja wa kununua miti pamoja na ardhi Miti ipo Njombe aina ya PINE Ni heka 5 Bei 15,000,000 Miti ina miaka 6 Mawasiliano 0755238761
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Habari wanaJF, natoa koza ya kutengeneza website, mtu (wanafunzi ) yoyote ata kama ajasoma IT ila anajua kutumia komputa nakuakikshia ukimaliza koza hii unatengeneza website yako na kumiliki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana janvi, Natafuta wateja wa kununua miti pamoja na Ardhi. Miti ni aina ya PINE na ni heka 5 Inapatika mkoani Njombe Bei 15,000,000 kwa heka zote 5. Miti ina mwiaka sita (6 years)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Iphone 4s, good condition 270,000 maelewano yapo, piga 0682 066 161
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Msaada kwa anae fahamu viwanda tajwa vinapatikana wapi ndani ya Dar
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…