GuDume JF-Expert Member Jan 18, 2015 6,651 14,318 Jun 23, 2016 #3 Nina 50,000. kama upo tayari kwa hizo sifa nataka nimnunulie mtoto wangu ya kufanyia mazoezi nyumbani.
Nina 50,000. kama upo tayari kwa hizo sifa nataka nimnunulie mtoto wangu ya kufanyia mazoezi nyumbani.
A a4apple JF-Expert Member Jul 30, 2015 927 1,131 Jun 23, 2016 #6 Njoo inbox ntakupa laki. Inbox nitakupa namba za wasapu unitumie picha