Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine. Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam. Bei zetu ni...
0 Reactions
4 Replies
475 Views
Najua watanzania wengi mnapenda sana kusoma vitabu . Shida iliyopo kubwa watanzania wengi lugha ya kingereza inatupa shida. Sasa hiyo shida imekwisha kama utafanikiwa kuona huu uzi leo kwasababu...
3 Reactions
47 Replies
8K Views
Faida za kuongeza mwani kwenye mlo wako Husaidia kupunguza unene, kupandisha kinga za mwili. Hupunguza kiasi Cha mafuta mabaya mwilini, Hupunguza mchakato wa kuzeeka kwa ngozi, Hupunguza...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Tunauza Photocopy machines Canon Ir 2525i Used Bei ni 2,500,000/- kwa moja Tupo Zanzibar, tunaweza tuma Dar na hata mikoani ila gharama za utumaji zitakuwa juu ya mnunuzi.
1 Reactions
9 Replies
606 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Naihitaji Kiwanja miguu 13x13 ya hatua kubwa kibaha jaribu na barabarani bahitaji pia nijue ni bei gani nipo serious wadau
0 Reactions
5 Replies
473 Views
Assalam alaykum viongozi Nahitaji kupata uelewa kuhusu biashara ya kutengeneza madaftari, counter books na yale ya kawaida. pls yeyote mwenye uelewa kuhusu biashara hii njoo unipe tips. Pia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Sitaki za kichina nataka za kutengeneza manual. Chukua tenda hiyo
0 Reactions
4 Replies
498 Views
Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali...
1 Reactions
2 Replies
437 Views
Hello wakuu, Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/= Location: Dar es salaam ikipatikana hadi kufikia...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani. Kina ukubwa wa Square meter 1080 kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwa muda sasa tumekuwa tunakupa habari njema za SEMINA YA USIMAMIZI WA FEDHA BINAFSI 2024. Hii ni semina inayokwenda kukujengea ujuzi wa aina tatu; KUPATA, KUTUNZA na...
2 Reactions
1 Replies
423 Views
Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? Umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa...
1 Reactions
1 Replies
860 Views
• Direction: Mpakani • Facilities: House, 5 frames • Plot Area: 366 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 200 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ iko mtaa wenye pilika za kibiashara ✓ ina...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
• Direction: Mwembechai, Kagera Street near Istiqama Hospital • Facilities: 6 bedrooms, 5 washrooms, 3 frames • Plot Area: 380 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 275 million • Viewing charge...
1 Reactions
0 Replies
384 Views
Habari Kuelekea msimu wa kilimo pata shamba, nina shamba heka 8 chamwino vijijin kwenye hilo shamba kuna kisima cha maji hivyo ni zuri kwa kilimo cha umwagiliaji. Shamba linauzwa milllion...
0 Reactions
5 Replies
496 Views
Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa: Magari yaliyotunzwa vizuri Vipindi vya ukodishaji...
2 Reactions
1 Replies
745 Views
AVAILABLE BRAND NEW 🔥 MICROSOFT SURFACE LAPTOP 7 •Display Size 13.8 Inches PixelSense Flow Display •Resolution: 2304 x 1536p •Refresh rate: 120Hz •Processor; Snapdragon X Elite (12-Cores, 12...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Karibu kwenye mradi wetu mpya uliopo BAGAMOYO, FUKAYOSI, Mradi huu upo umbali wa 2km kutoka Bagamoyo-Msata road. MRADI HUU UKO FULL SURVEYED✅✅ Mradi unafikika Kwa urahisi mno kwakua ipo...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Model name :Hp elite book 820 g3 Core i5 Ram 4 gb Screen size 12.5 inches Cpu 2.3 ghz BEI 280K Napatikana Zanzibar
1 Reactions
9 Replies
939 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…