Company ni GIBBO CATERING, specialist in African food. Wedding and corporate events, private functions and many more. All menus custodies to meet your personal needs.
Namba yangu ni 0676 983196
Jamani nina eneo chanika ila kwasasa naishi nje ya dar nimeshindwa kuliendeleza kwasababu nimebanwa sana sehem niliyoajiriwa so nina hofu litavamiwa sasa naona bora niliuze. 0763006200/0718006200.
Wana jamii naomba kufahamishwa, ni wapi naweza kupata mashine za kunyolea nywele zilizo orignal, hapo kwa mzoefu anijulishe aina iliyo bora pamoja na bei yake, na pia ni maduka gani naweza...
Salaam wadau..nauza picha za urembo wa nyumbani na hata maofisini..Zipo kubwa na ndogo.Zipo pia fremu za picha.Bei ni kuanzia elf 40000 mpaka 120000.Karibuni sana.0689900000
Tunapima 20 kwa 20 na bei yake 7.5ml maongezi kidogo yapo
Karibu ujipatie plot nzr iko maeneo mazuri na mji uliopimwa kwa mpangilio , njia nzr na panafikika kwa urahisi, unaweza pitia mbweni au...
Nmesoma mahali kwenye Group moja kuwa kuna punguzo la mwezi wa Ramadhan decoder za azam.nkashukuru sana kwa sisi tunaofunga tutapata muda pia wa kuangalia vipind mbalmbal.
Kama ni kweli aisee...
SMART CAR DVD PLAYER (XTRONS UK)
Available for major car makes including Toyota, Ford, BMW, Audi, Honda, OPEL, Mercedes-Benz, Volkswagen, Suzuki, Chevrolet etc.
Available in Android 4.4 Kit Kat...
Habari: Natafuta mwalimu wa Kiswahili kwa ajili ya kazi ya muda lakini inaweza kumlipa kwa maisha yake yote. Sifa Awe na Shahada ya Kwanza ama kuendelea. Awe anafahamu English kwa ufasaha. Ikiwa...
SPONSORED ADS
Je Unahitaji Kutangaza Biashara Yako Kwenye Social Media Outlets Kupitia Huduma Ya Sponsored Ads
Ni Matangazo kwa ajili ya Biashara / Bidhaa / Kampuni ?
Tangazo lako linakuwa...
Kwa jina anaitwa Ally Mohammed.
Ni mwandishi habari kutoka Zanzibar.
nina mpango wa kuanzisha gazeti litakalotoka kila siku.
Ningefurahi nkimuajiri huyo kijana.
Aliwahi kufukuzwa kazi Redioni...
Mimi ni mjasiriamali mdogo natafuta duka au supermarkets ambazo naweza kusupply bites.kwa yeyote mwenye kufahamu tuwasiliane. Bidhaa nazo tengeneza ni visheti,halfcake,bisi,Karanga za mayai...
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 4,500,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=...