Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Cannone D 1100 inauzwa ina Lens 18mm mpaka 55mm ipo na charger bei Tsh 700,000, Nikon D 50 lens 18 mpaka 55mm tsh 500,000, Cannone D 1000 lens 18mm mpaka 55mm tsh 600000 na Nikon Lens 55mm mpaka...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Tusafiri pamoja kutembelea mji wa kale wa Bagamoyo Jumamosi ya tarehe 24/9 kwa gharama ya shilingi 15,000/- tu ikijumuhisha Nauli ya kwenda na kurudi, gharama ya mwongozaji (guide) na breakfast...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF..: Nahitaji mashine tajwa, kwa mwenye ufahamu kuhusu wapi naweza kupata kwa Dasilamu, aina (size) zake na bei tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba tujuzane nyie mnatumia dawa au kemikali gani kufulia ili kuongeza ufanisi na pia kemikali gani unatumia kung'arisha nguo? unaweza kunitumua pm au kuandika moja kwa moja
0 Reactions
0 Replies
837 Views
This is blog that provide Ict Education for all levels, We post various Computer problems and their Solutions on how to solve/fix them, Latest Technology news, Programming skills, Tutorials, Funny...
1 Reactions
0 Replies
926 Views
Habari zenu, mwenye kuifaham au aliyekwishaitumia hii gari naomba anielezee uzuri na mapungufu ya hii gari mana natakakuinunua. Mawazo yenu ni muhimu.asante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina miradi Kimbiji kwa chale, Puna na potea vyote ni mbele ya kimbiji Price zina range kianzia 7500@sqm hadi 23000@sqm. Puna na kwa chale umeme upo tayari potea bado haujafika. Pia ninavyo...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Bajeti yangu ni laki 4. Mshine iwe na uwezo wa kuweka mayai 100 kuendelea na iwe automatic inageuza mayai yenyewe. Ni pm au mawasliiano 0783085858.0769881984.0715075858
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Range Rover Sport 2008model inahitajika... (Sample hiyo kwenye picha) Kama unayo tuma details na picha kwa WhatsApp 0689315582 Zingatia: model isiwe chini ya mwaka 2008 maswali zaidi sitaki
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Natafuta mtu ambae ntakuwa namuuzia asali kwa bei ya jumla au anae elewa sehem ambayo naweza kufanya biashara hiyo
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habar wanaJF kinauzwa ni pm kwa maelezo zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau hasa wale wenzangu na mimi walioamua kujikwamua kwa kukiendea kilimo. Baada ya msoto wa muda mrefu niliamua kukiendea kilimo cha matikiti na hapa ninapoandika uzi huu matunda...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Gari ya mwaka 2004.rim sport.tairi zote mpya.imelipiwa insurance na motor vehicle hadi 2017.full air condition. Dvd redio.power window.Gari ilinunulia mmiliki akasafiri nje ya nchi. Ni gari...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza naomba mnishauri brands and type ambazo naweza pata kwa bei hiyo
0 Reactions
30 Replies
4K Views
ram 4GB hdd 320Gb core i3 processor 2.4 GHz WIFI bluetooth dvd rom lcd Backlight Technology LED b Resolution 1366 x 768 ( HD ) hdm Headphone output VGA 530000 712191251
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Nakutengenezea blog ya wordpress, au blogger kwa gharama nafuu ya tsh 5,000(elfu tano) tu. Utafanyiwa settings zote muhimu na kuwekewa logo,bila ya kuongeza pesa yoyote. Utapatiwa maelezo ya...
1 Reactions
0 Replies
725 Views
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM COLLEGE OF EDUCATION (COED) ENEO LA UJASI TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM COLLEGE OF EDUCATION (COED) ENEO LA UJASI TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Habari. Nilikua nikiendesha biashara ya Stationary kwa muda sasa nabimekua ikiingiza faida nzuri tu. Nimeona nikajiendeleze kimasomo nje ya nchi hivyo nimeamua kuuza vitu vilivyomo ktk stationary...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wanabod, Kama maada imavojieleza natafuta kiwanja cha kuenea vyumba viwili na sebule, kama mnavojua laifu sahiz limekaba sihitaji kitakachozidi ml 2, maeneo kiwe Kigamboni, Buza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…