Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

WADAU KUNA NYUMBA NZIMA INAKODISHWA VYUMBA VITATU SELF CONTAINER,JIKO IPO MAENEO YA BUZA,MANDHARI YAKO POA KABISA.UKIWA NA SHIDA WASILIANA NA HUYU MTU 0715 45 92 41
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Habari wanaJF: mnakaribishwa wote kwenye training kama inavyojieleza picha hapo chini
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Iwe appartment ghorofani (kwenye ghorofa refu) maeneo ya chang'ombe au maeneo ya karibu sana na chang'ombe, iwe ya kisasa yenye vyumba vya kulala vitatu , yenye AC na fence.. Nicheki na ntumie...
1 Reactions
0 Replies
797 Views
Naomba msaada nahitaji kusoma MAGAZETI online wapendwa kupitia simu yangu msaada wa maelekezo unahitaji ka.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WADAU KUNA GARI YA HARUSI INAKODISHWA KWA MAHARUSI WETU,BEI MAELEWANO TU AIFANYIWI NJAA.IPO POA KABISA NA NI MPYA KABISA AINA YA GARI NI SIENTA INABEBA WATU SABA MAWASILIANO MPIGIE 0715 45 92 41
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafiti zilizofanywa marekani na wanasayansi katika chuo kikuu cha Mississippi Wamethibitisha kua chupi za kubana za wanaume si nzuri kiafya ya uume wako na usalama wa mbegu za uzazi na ina...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Viwanja vinauzwa viko Mbezi Makabe Njia Panda . Ukubwa Ni "20-20" bei Sh mil.10. Vimepimwa kisasa. Umeme upo karibu mno. Wasiliana Na mwenye no: 0714486466.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Zote zinapitakana kwa Tsh 370,000. Nipo Dar.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kama inavyosomeka! Zinahitaji hekari (2) za haraka. Nihakikishiwe hati. Naomba kujua offer yako wewe muuzaji, biashara tunafanyia hadharani.
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Karibu Utengeneze computer au upate ushauri wa kitaalamu wa manunuzi ya computer au vifaa vya computer: Sisi ni Connectmoja Tech Ltd Wasiliana nasi: 0714 215 600 au 0777880007
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mwenye kujua inakopatikana au yeye ni mtumiaji anijulishe tushirikiane wote huku nilipo naiona fursa hii ya biashara tunawez fanya biashara hiyo nasikia ni nzuri ni pm
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Salaam kama wewe ni mwanafunzi wa IFM au CBE na ni mtaalamu wa kuandika michanganuo ya kibiashara kwa ajili ya kupata mitaji.. wasiliana nami kupitia namba yangu ya whatsapp +255758441676
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ziwe kampun za sony au samsung au nokia au bose au apple. Umuhim ni kuwa na sauti ya bass iliyochujwa pia.. Kwa mwanza au dar. Nimeweka picha za mfano. 0753101020.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. nipo dodoma nakufuta popote ulipo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza nyumba Nauza nyumba
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Nauza mashine ya photocopy #Ricoh aficio mp2000 #inatoa photocopy #ina print # ina scan #fax #wireless print Mashine iko katika hali nzuri sana yaani ni karibu na mpya. Price: 1million maongezi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau Kuelekea Oktoba 25,nauza Unfinished House yangu pichani. Ipo Madale,Dar es Salaam. Ina Hati na Eneo la Uwanja ni Square Meter 1103. Ina Vyumba 4 vyote Master,VIP Lounge,Study Room nk. Bei...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu wana JF. Kwa wale wote wenye mahitaji ya kufanyiwa Electrical wiring & Installation katika nyumba zao, mnaweza kuwasiliana nasi ili tuifanyie nyumba yako Wiring ya uhakika iliyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…