Kwa wote wenye mahitaji ya Wiring

electricalTech

New Member
Aug 2, 2016
3
0
Habari ndugu wana JF.

Kwa wale wote wenye mahitaji ya kufanyiwa Electrical wiring & Installation katika nyumba zao, mnaweza kuwasiliana nasi ili tuifanyie nyumba yako Wiring ya uhakika iliyo katika viwango vya kimataifa. pia tutakupatia ushauri wa kitaalamu juu ya ununuzi wa vifaa vya umeme katika nyumba yako.

Tunafanya kazi katika misingi ya weledi na Uaminifu, Tunamaliza kazi katika muda, Hutojuta kufanya kazi nasi. Gharama zetu ni nafuu sana.

Tunapatikana Dar es salaam kupitia mawasiliano ya 0713 10 69 48 au 0763 55 36 58 (Whatsapp).
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom