Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunapatikana Mabibo Farasi lakini tutakufikia popote Dar es Salaam.. Bei: Tzs 50,000 kwa Turubai moja kwa siku Tzs 400 kwa kiti kwa siku Tunatoa huduma ya usafiri bure.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wasalaam wana JF Kwa heshima na taadhima napenda kuwafahamisha kwamba ninauza shamba langu lililopo eneo la Ihumwa katika manispaa ya Dodoma. Mwenyewe nina heka kadhaa katika eneo hilo, hivyo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za mchana wadau, mimi ni mtanzania wa kawaida natafuta mbia ambaye tutashirikiana kujenga na kuendesha kituo cha mafuta pale Fukayose bagamoyo, nina kiwanja very pontential kwa biashara...
1 Reactions
1 Replies
860 Views
Nahitaj chombo tajwa hapo juu kiwe katika hali nzur na vibali vyote. Namba B itapewa kipaumbele. Npo kigambon DSM. Nipigie 0713806766. Karibuni sana.
0 Reactions
0 Replies
547 Views
nahitaji kijana msaidizi wa kazi mgahawani. mgahawa upo uswazi hauna mishe nyiingi kivileee..nilisha wahi kupost hapa nashukuru nilimpata mmoja mpaka leo ninae..nahitaji mwingine Ofisi inakua...
1 Reactions
5 Replies
940 Views
pata pochi, unique, genuine, nzuri, kubwa, imara, na nadhifu inayokupa classy kutoka kwa mjasiriamali Mtanzania.. achana na plastic za kiChina... bei nafuu pochi +kiatu 45000 pochi only...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Upungufu wa nguvu za kiume ni shida inayosumbua wengi,lishe duni,msongo wa mawazo na mitindo ya maisha ya watu wengi, vimekuwa visababishi vikubwa vya tatizo hili kwa kuona hivo kampun yetu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tusafiri pamoja kutembelea mji wa kale wa Bagamoyo Jumamosi ya tarehe 24/9 kwa gharama ya shilingi 15,000/- tu ikijumuhisha Nauli ya kwenda na kurudi, gharama ya mwongozaji (guide) na breakfast...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimebobea ktk masuala ya environment Epp ni Muhimu kwa Wachimbaji wadogo wa Madini,, ntaksaidia kwa bei poa nitafute 0766707790
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Nimebobea ktk masuala ya environment Epp ni Muhimu kwa Wachimbaji wadogo wa Madini,, ntaksaidia kwa bei poa nitafute 0766707790
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MacBook Pro core i5 13inc. Pocessor type: Intel Core i5 , clock speed @2.4ghz (x4 cores) Storage: Hdd 500Gb Ram: 4gb DDR3 13inc LCD screen. Intel HD 3000 graphics adapter. Health battery...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari walimu, nawatangazia kwamba nimefanya maboresho ya system(chenjifasta) na kuweza kurahisisha kumpata mwalimu wakubadilishana kituo haraka pasipo ata kutumia nguvu nyingi. Kama ujajisajiri...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Jipatie Toyota Camry kwa Tshs. 3,000,000.ipo katika hali nzuri na ipo hapa Mwanza mjini maeneo ya buzuruga.anaehitaji tuwasiliane kwa #0742159555 Note:This add meant for those who are inneed of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga ninashughuli ya mwezi mmoja Zanzibar na iwe naa vyumba 4 hivi ikisindikana vi3 pamoja na jiko especially maeneo karibu na mnazi mmoja hospital.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Mimi nipo mwanza ninashida Na smart phone mpyaaa nina laki Na nusu.... msaada please ni cmu Gani nzuri nitaipata kwa hii pesa yangu???
1 Reactions
45 Replies
5K Views
INVOICE-PROFORMA GENERATOR SYSTEM Invoice-proforma generator is a system that can be used to easily generate your Proforma and invoice for your clients, Track payment of each invoice...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mpya , Internal 16 GB RAM 2GB Camera 8MP 5MP fore camera. Bei 230000 Maelewano yapo 0676848323 +255765919620
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nahitaji container la 40 ft, Mwanza mjini, liwe katika hali nzuri. Offer yangu ni shs milioni tano.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
GATEWAY DESKTOP COMPUTER (ALL IN ONE) YENYE SPECIFICATION ZIFUTAZO INAUZWA v Hard Disk 1TB (GB 1000) v Ram 6 GB v Processor Core i3 v Mouse and keyboard ni wireless v Display Inch 21 v...
1 Reactions
4 Replies
861 Views
Naomba kujuzwa gari hii Toyota Carina Ti inaweza kupatikana kwa kiasi gani show room?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…