Habari... Natafuta ukumbi uliotulia na uliopo sehemu salama na inayofikika kirahisi Arusha Mjini kwa ajili ya Kuendesha seminar kwa wiki mbili.
Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 30 tu.
Wanadu wa jukwaa, yeyote anayeweza kunisaidia mahala nitakapoweza kukipata kifaa hiki ndani ya TANZANIA atakuwa amenisaidia kwani nimeshatafuta sana kwenye maduka ya electronics bila mafanikio
Fursa kwa wafugaji wa kuku wa mayai, nahitaji kununua nayai kwa bei ya jumla niko mtwara uwe tayari kunisafirishia kwa basi cost za usafiri za kwangu, serious seller PM please!
NB:kwa wauzaji wa...
Kama heading inavyoeleza , kwa mwenye Uwezo wa ku edit na kumalizia research proposal then research nzima hapo baadae aje PM faster .. ! Guidelines zote utapewa
habari,
Rejea kichwa cha habari hapo juu...
Budget kwa vits iliyosimama ni 5 mil
Budget kwa swift iliyosimama ni 4.5 mil
whatsapp pictures kwa 0712 507060, nipo Dar
karibuni
Iwe Namba D, kwenye kundi la ama Brevis(250), Carina(TI or SI), Rav 4, Crown, Progress, Wish, Noah(SR40)
Weka taarifa zifuatazo:-
Bei.................,
Aina ya Gari...
Natafuta mbia wa kuwekeza kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari moja mbezbeach Africana lililo umbali wa mita 300 kutoka barabara ya lami (Bagamoyo road) na lililo karibu na bahari
Contact +255689315582
Wadau,
Nina tafuta watu wa ku administer questionnaire katika wilaya za Mkuranga na Bagamoyo kazi ambayo inatarajiwa kuchukua siku 5 - 7
Sifa:
Ninahitaji watu ambao ni:
1.Wanafunzi wa vyuo ambao...
Habari zenu wadau
Naomba mwenye ufahamu wa mashine ambazo hutumika ku pack vitu kwenye mifuko midogo midogo kama ile ya sabuni OMO, najua ziko machine ndogo ambazo husimamishwa wima na zina...
hanari wadau,Kuku wa malawi wanauzwa wapo 250 Majogoo 100 na tetea 150 majogoo nauza kwa 20,000 na tetea kwa 17,000 kama unachukua wote kwa pamoja nakuuzia kwa bei ya punguzo,hawa kuku...