Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ina kila kitu kwenye vyumba viwili inauzwa kama ilivyo bei ni milioni 5 tu mazungumzo yapo, location ni Manzese Argentina
1 Reactions
39 Replies
6K Views
NI Siku #89 Tu Zimepita Toka Kuanza Kwa Crowd Rising Na Tayari WAtu Wanazidi Kujiunga Bado Wewe Tu! KAribu KAtika Familia Ya Mafanikio Badili Muelekeo wa Maisha Sasa KWa Tsh.20,000/= Tu Kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji vifaranga wa kuku chotara na vifaranga wa kanga. Mwenye navyo au unaweza nifahamisha wapi naweza vipata tafadhari nifahamishe.
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Mfanyakazi wa Salon ya kike mwenye ujuzi wa kusuka vizuri nywele za rasta aina zote, hususani yeboyebo anahitajika haraka. Salon iko Mbezi Salasala mwisho wa lami. Piga no. 0784 386474 Au 0718 780556
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Taarifa ya uuzwaji viwanja, nyumba, kigamboni. Na mashamba mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga. Tuwasiliane kwa maswali zaidi. Simu no. 0713024990, Email. Muram1994@gmail.com.
0 Reactions
23 Replies
7K Views
FOR ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 10 AUGUST 2016 ASKING PRICE: TSH:250,000 laki 2 na nusu TERMS OF PAYMENT: 6 MONTHS ( miezi 6) + KODI YA MWEZI MMOJA YA DALALI...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
habari zenu wandugu, nauza king'amuzi cha startimes cha antena nipo Arusha, mwenye kuhitaji ani- PM.
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Jipatie Container nzuri za 20ft hapa jijini Mwanza kwa bei nafuu ya Tshs 3 milioni kwa kila moja. Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa 0742159555
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Fundi wa TV aina ya sansan 32'' led TV , Ilizima tuu ghafla, nipo Moro au kama kuna anaye yajua maduka ya kampuni hii kama yalivyo maduka ya Samsung anijuze Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ya mwaka 1995 Ipo vzur Price 5500000 maongez yapo Welcom pm
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Key Features Model: 49uf640 ULTRA HD 4K Resolution Triple XD Engine WI-FI built in LAN Lg store apps Full Web Browser Smart TV with webOS Ultra HD 4K Streaming 4K Upscaler IPS 4K Panel Magic...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
0767369999
0 Reactions
3 Replies
971 Views
SABUNI ZA KIGOMA,ZAMAFUTA YA MISE(MAGADI) Zinapatikana kwa sasa Dar-es-Salaam,Morogoro, na Pwani. Zinatengenezwa kwanjia ya asili kwakutumia mafuta ya mise. Matumizi yake ni; Mfano - 1. Kufulia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Zipo Kaole Bagamoyo na zinapakana na Kaole Sekondari; zina ukubwa wa sqm 1,500 na bei ni tshs 10,000/= kwa sqm. Zipo umbali salama wa mita 200 toka baharini/ufukweni na zina hati; mwenye kuhitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SABUNI ZA KIGOMA,ZAMAFUTA YA MISE Zinapatikana kwa sasa Dar-es-Salaam,Morogoro, na Pwani. Zinatengenezwa kwanjia ya asili kwakutumia mafuta ya mise. Matumizi yake ni; Mfano - 1. Kufulia 2.Kuoshea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta simu aina ya Samsung Trend Lite either mpya au iliyo kwenye hali nzuri. Kwa aliye nayo anaweza kuandika hapa au akaniPM. NB: Nahitaji simu hiyo specifically, maana najua mtataka kuniuzia...
0 Reactions
5 Replies
804 Views
Samsung j100h iko sikoni ambae anaitaji anicheck inbox
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Kipo Goba mjini,mita 300 kutoka stand Ukubwa 40 kwa 50 njia nzr na inafikika kwa urahisi, bei yake 35ml bei hii ina maongezi Kwa maelezo mengine na ukitaka kukiona tuwasiliane kwa 0756060183
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nataka jua km naweza pata laptop ya mac used na bei yake kwa ajili ya kutumia ktk visual dj na pioneer cdjs ktk club.thanx
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari zenu wakuu naomba tuepuke kupoteza mda mwingi kwa kutumia social network bila ya kufaidika na chochote ,kama huna ajira Uzi huu unakuhusu iwe ni mzee iwe ni kijana naomba unitafute kupitia...
1 Reactions
2 Replies
836 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…