Habari zenu, heri ya Jumapili.
Napenda kufahamishwa kwa mtu anaewajua mawakala wa kutafuta scholarshp abroad. Kuna siku niliona kipindi cha mahojiano ITV au Channel ten sikumbuki vizuri. Alikua...
​:peep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA...
Tupo mbeya., tuna jishughulisha na decoration za kwenye nyumba za kuishi., hotel n.K mfano wa sample zenyewe ni hizo zinazo onekana kwenye picha., Kwa mawasiliano Zaid nichek 0718930097., 0753422844
Xbox 360 na Playstation 3 zinauzwa.
Zote ni used ila zipo kwenye condition nzuri sana.
XBOX ni 380000
PS3 .....320000
Maongezi yapo.
Kama uko interested piga,txt au watssap #0654890861
Habari zenu waungwana wa jukwaa hili.
Kama tangazo linavyojieleza, kimfaacho mtu chake.
Nauza raba zangu mbili, nimezivaa kwa takribani mwezi mmoja.
Zipo kwenye hali nzuri kabisa, size ni 10uk...
Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.
2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele...
Naomba mawasiliano kwa yeyote aliye wahi kusoma chuo cha selikali za mitaa hombolo Dodoma hivi karibuni.au kwa anaye kifahamu vizuri namba yangu ni 0752006344.
Habari,
Kama kuna yeyote mwenye contacts za wachimba visima kwa bei poa naomba anisaidie mawasiliano. Visima vya mashine
Natarajia kuchimba maeneo ya mwasonga kuelekea tundwi (kigamboni).
Habari wakuu, mwenzenu nahitaj kuongeza huduma ya kusafisha picha za kawaida pamoja na passportsize ktk ofis yangu,niko maeneo ya kijjn ningependa kupata walau EPSON used naweza kuipata wap na kwa...
Hdd-1Tb
RAM-4GB
Processor - 2.1Ghz
Battery life- exceptional 7 hr,(tested and proved)
Usb port - present
HDMA port - present
Microsoft office 2016 ( Office 365 )
Ni laptop mpya kabisa ya mwaka...
Price ni 20,000 delivery ni 3000 kwa Dar, mkoani ni 8000. Unalipia Cash on delivery. Ukipokea mzigo ukirizika ndo unalipia. 0759313687. Material Leather