Nauza T-shirt za size mbalimbali; ainabalimbali kwa bei ya round T-shirt in 10;000 na polo T-shirt ni 17000. Popote ulipo mzigo unakufikia
Cc: ladyfurahia
Wadau habari zenu:
Kuna bwana nafanya nae biashara fulani ,sasa kuna kimzigo nilimpa lakini mambo yake hayajakaa sawa sasa anashughulika kuuza tairi za magari,
kwa uungwaana tu kaniambia nipeleke...
Ipad 2 for sale
Condition: Almost New.... No scratches...ipo kwenye box lake kabisa
Cellular (Inaingiza Sim card) And WiFi
Storage:64GB
Price:tsh. 450,000/=(negotiable)
Call/text /whatsapp...
Tunatoa huduma ya ku-deliver pacels ,documents au mzigo wowote hapa Dar es salaam.
Bei zetu ni ndogo mno ukilinganisha na bei za makampuni mengine , kwa wanasheria ambao mnapenda kutuma document...
Jipatie meza ya tv kwa bei ya sh 400000 kwa mawasilino piga 0713449460/0755206666^0784449460 au fika dukani kwangu maeneo ya njia panda ya kilakala na kichangani mkoani morogoro
Hi members,If there is any one interested in Agro-processing try this business opportunity;
Currently we own and operate Rice mill with processing capacity of 40t/day, Maize mill (Roller) with...
Kuna mashamba yanauzwa Dodoma eneo linaitwa NTYUKA km 5 toka Dodoma mjini upande wa Kusini-Mashariki mwa Dodoma barabara ya kuelekea MVUMI mission.
Kata ya Ntyuka imepakana na Chuo kikuu cha...
Ni Chumba Masta na Sebule, haina jiko.
Maji yapo ya dawasco, Parking ya gari ipo.
Wasiliana: 0752953860//0713226191
NB: Itakuwa wazi Jumamosi
Bei Tshs 20000/Mwezi
*Great sound quality with strong bass
*Professional Sports earphones
*ergonomic designed to fit the contours of your ear
*The headset is resistant to moisture and sweat
PRICE: 35,000
CONTACT...
Wakuu kama kichwa cha habari kinanavyosema naomba kusaidiwa wapi zinauzwa na bei ya mashine zinazochapisha nembo kwenye viroba mfano kama viroba vya ngano ya AZAM ama viroba vinavyowekewa unga wa...
Built-in HDMI/MHL, mini VGA, USB port, microSD card reader, earphone out, and speaker
PC-Free Office Viewer and Multimedia Playback for videos, photos, music
350 lumens-rated long-life LED light...
Jipatie ofisi inayohamishika mahali popote iliyotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa wataalam wanaita sandwich panels. sandwich panel ni ukuta ambao haukisi joto wala baridi, kwa maana...