Gharama zake zikoje mkuu na anatoa kuanzia pakiti ngapi?kiwanda kipo sehemu hapa dar?kwa dar wenenda kwa bhakressa anakutengenezea mimi nilikuwa nachukua kwake viroba vya ufuta.
Nenda pale Azam Tazara iliyokuwa NMC zamani.Gharama zake zikoje mkuu na anatoa kuanzia pakiti ngapi?kiwanda kipo sehemu hapa dar?
kunajamaa wako ubungo dar wanaprint lebo za kwenye virobaMorogoro mkuu,vp unazo?
Umemuelewa anachohitaji? naona anachokitafta sicho mnacho mjibukunajamaa wako ubungo dar wanaprint lebo za kwenye viroba