Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo katika hali nzuri with touch screen Betri mbili charger na bag unapata Karibun bei ni 1.1m Pungufu tunaongea
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wandugu, Kama kuna mtu anauza kiwanja chenye hati maeneo ya Salasala, Wazo, Makongo juu, Boko au Goba naomba ani PM tufanye biashara. Ningepende kiwanja kiwe kimepimwa. Bejeti yangu ni chini ya 8m.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Km kuna mtu yoyote aliyekwisha wahi kununua au kufanya biashara kupitia mtandao wa dhgate.com, naomba experience yake tafadhali coz kuna vitu nataka ninunue lkn sijajua naanzia wapi
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Kama unaishi Dar na unahitaji dada wa kazi wasiliana nami nikuunganishe nae sasa hivi, ~Ni mwenyeji wa dodoma_mpwapwa ~umri=20yrs Mazingira ya kazi: ~Aishi kama mwanafamilia mwingine bila...
0 Reactions
2 Replies
577 Views
HIYO MOVIE(IGIZO) INATOKA JUMATATU TAREHE 26 LAKINI INAANZA KUONYESHWA SIBUKA MAISHA TAREHE 23 NA 24 THEN NDIPO IINGIE MTAANI TAREHE 26. big up think tanks wa Bongo movie maana tushazoea films za...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
(SIMU IMESHAUZWA) Nauza simu aina ya HTC ONE MAX no 7 0928 01 yenye sifa zifuatazo<br />1. Aina ya simu: htc one max<br />2. Kioo: super lcd 3, 16 M multicolours<br />3. Saizi: 5.9 inches<br />4...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Product Highlights MODEL: 40H5003 Multi-System Compatible Full HD 1920 x 1080 LED Panel Clear Motion Rate 120 Technology Wide Color Enhancer Plus Samsung ConnectShare Movie Soccer Sound and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallo, Natafuta hili DAWATI hapa na kiti Chake. My Budget. 50/60 Elfu. Thanks.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Hallo, Natafuta Chuma za Pazia(DOUBLE) 3meters(5 pcs) Double 2meters(2 pcs) Double 2meters(1 pc) Single Nipe Bei ya Kibingwa. Na picha pia. Deal done
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa!!! Natafuta PS2, PS3 & PS4 (used) za mtumba, Pamoja na CD: Fifa 16/17 Kwa bei "NAFUU" Sihitaji mpya.... nataka used ambazo hazina TATIZO, lolote kabisa!!! Kam mtu anazo kati...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Lenovo thinkpad spec Ram 2gb Hdd 320 Hdmi Webcam Wifi Bettre 4hrs Vga port Window Size 11.6 0712191251 wahi zimebaki chache 295000
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Kuna ndugu yangu anasumbuliwa na meno has a ya mbele naomba anayejua daktari wa meno Arusha aniambie asanteni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hili ni kampuni jipya linataka Deal Na Masuala ya usambazaji na Uzalishaji Movie East Africa, Karibu Tuli Support,
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Km bajeti inavyojieleza hapo juu, Nichek 0712667669
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Looking for a cheap laptop, natafuta laptop aina ya Lenovo yenye bei ya chini iwe ina support GTA V, Graphics Card nzuri na iwe fast kwenye internet na iwe Brand New nitanunulia wapi?
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Kama unatafuta Cartoon zozote tuwasiliane. PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa!!! Natafuta PS2, PS3 & PS4 (used) za mtumba, Pamoja na CD: Fifa 16/17 Kwa bei "NAFUU" Sihitaji mpya.... nataka used ambazo hazina TATIZO, lolote kabisa!!! Kam mtu anazo kati...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Mi nina usafiri wangu aina ya boda boda, nipo dar es salaam Mwenye biashara ya nyama au samaki naomba tuelewane niweze niwe nakusambazia kwa wateja wako malipo ya usafir ni maelewano namba yangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu kama nilivyosema mdogo wangu anakojoa kitandani mpaka leo hii yupo form 1 tumempeleka boarding lakini tatizo bado lipo mpaka leo hii hadi walimu wanataka kumrudisha nyumbani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…