Microwave inauzwa bei Chee.TSH.185,000/=
Aina -SHARP
25 Litre Touch Control
900W Microwave Oven
11 Power Levels
6 Auto cook menus
2 Express defrost menus
Auto minute start
Child safety lock...
-Injini ya vitz old model-Tshs.600,000/
=
-Milango minne 'complete' pamoja na
power windows zake ukiwamo na wa
boot na kasoro wa dereva-
Tshs.600,000/=
-Gearbox-Tshs.200,000/=...
-Injini ya vitz old model-Tshs.600,000/
=
-Milango minne 'complete' pamoja na
power windows zake ukiwamo na wa
boot na kasoro wa dereva-
Tshs.600,000/=
-Gearbox-Tshs.200,000/=...
African capital ni taasisi inayohusika na utoaji wa mikopo kwa watumishi/ wafanyakazi wa serikali. Ni kwanzia laki mbili mpaka million kumi. Malipo ni kwanzia miezi sita mpaka miaka mitano. Riba...
Kiwanja kinauzwa
Ukubwa 32*32
Kipo Dar es salaam eneo la
kinyerezi_Kifuru(hali ya hewa)
Umeme na barabara vipo
Bei: Tsh.15million maelewano yapo. Dalali haitajiki
Mawasiliano:
+255712264469...
Pikipiki aina ya sunlarg, cc 125-5, imetumika kwa miezi 8 tu,. Imesajiliwa kwa muundo wa sasa wa MC, haidaiwi kodi, adi mwezi January.. Iko imara sana kwa matumizi ya Bodaboda na nyumbani. Bei...
Habari za kazi wanajavi wenzangu kwa mahitaji ya kufungiwa electric fence,gate motor,pamoja camera majumbani na ofisini tunafanya kazi hizo kwa bei nafuu kabisa tunapatikana kariakoo mkabala na...
Kiwanja kipo eneo zuri na karibu na barabara Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam. Kina ukubwa wa 20*20 mita, bei milioni 20 tu, maelewano yapo. PM kwa biashara.
Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 4.5M.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa kienyeji vizuri sana.
Kiwanja #29 & #30 Bado...
Nauza viwanja Moshi (Kawawa,Uchira,Mabungo, Pumwani,barabara ya Kilema )
viwanja vipo vya kuanzia mill 2 vyenye maji tu vipo pia vya kuanzia mill 4 vilivyo karibu na kila kitu barabara ya lami...