Natafuta gari ya kununua used one isizidi 4m.

Nahitaji gari iliyotumika, iwe haidaiwi na TRA kodi zote ziwe sawa 0626658983

Okay, nimekuelewa na nina kuhakikishia uwezekano wakuipata ni mkubwa mno.

Ingekua unahitaji gari 'zuri/bora na ambalo liko kwenye ''hali nzuri' hapo ndio ingekua ngumu.

Ila kwakua unahitaji 'gari tu' ilimradi gari ambalo halidaiwi chochote na tra, basi utapata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom