Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Rafiki yangu anauza mashuka ya mtumba safi sana, mazuri ya grade ya juu kwa bei nafuu sana. Kwa kutaka sample whatsapp 0716053305. Bei maelewano
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Nauza gari aina ya pajero io(GDI) _Ya Mwaka 2002 _ Colour, Black _1500cc _ Mileage,211,000km _Bei ...million 9. Gari ipo ktk condition nzuri...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvi. Rejea kichwa cha habari hapo juu shida yangu ni kwamba natafuta kitabu cha hapo pichani kama wewe mkazi wa Dar Es Salaam unaweza kunitajia sehemu wanayouza hiki kitabu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.
0 Reactions
29 Replies
47K Views
shamba liko morogoro sehemu inaitwa lupilo hekari 12 kwa sh m 7 tu jamani namba 0628353336
0 Reactions
3 Replies
868 Views
kwa mahitaji ya hivyo vitu ntafute kwa namba 0628353336 au tuma sms 0719702658
0 Reactions
0 Replies
470 Views
kama unavyo nitafte pm ili tuweze kufanya biashara.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza kiwanja kipo Kisemvule(Mbagala) kina hati.,ukubwa 100*50,kutoka barabara kuu kama km1.5,bei tunaanza 5.5m,maelewano yapo nipigie 0716792692,Asanteni.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunafundisha masomo yafuatayo-: 1.Economics (Cambridge & Nectar syllabus) 2.Accountancy 3.Business studies(Commerce) 4.Geography (O'level&A'level) -Tupo DSM, call;+255763479113.
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Sabakheri wadau natafuta soko la sungura weupe na weusi ninao 527. wapo morogoro mjini. bei maelewano kama unalifahamu soko nijuze hapa au kwa simu 0674128230
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, natafuta rear spoiler ya Toyota Altezza ile iliyonyanyuka kama inavyoonekana kwenye attached photo. Mwenye nayo tuwasiliane PM tafadhali
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi, Naomba kujua wapi nitapata vifungashio vya plastiki vya kuwekea ubuyu, visheti n.k kwa hapa Arusha. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari za jioni wana JF, Naomba msaada wa watu wa Arusha au uishie nje ya Arusha natafuta mawasiliano ya watu wa Redio za Arusha mfano Sun rise na Triple A Nina shida nao sana ninaomba msaada wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za leo? Nahitaji kununua hard disc mpya au iliyo kwenye hali nzuri iwe na uwezo si chini ya GB300. Mwenye nayo tuwasiliane,nipo Arusha.Mawasiliano 0752489529
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wakuu habari nipo dsm naitaji freezer lenye display ya kioo kama hii hapo pichani kama unayo tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wafanyabiashara wenye uhitaji wa makontena kubebea mizigo yao mnakaribishwa kutuona ofisin kwetu New national building Saza-Road chang'ombe Dar es salaam.Aina zote tunayo kuanzia...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
ARGI + ni kinywaji ambacho ndani yake ina kimelea cha L-arginine ambacho kina amino acid ya kutosha ambayo ikingia ndani ya mwili huwa nitric oxide ambayo husaidia mishipa ya damu kufunguka na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
African capital ni taasisi inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa watumishi/ wafanyakazi wa serikalo dar es salaam. Ni kwanzia laki mbili mpaka million kumi na malipo ni kwanzia miezi sita mpaka...
0 Reactions
8 Replies
883 Views
Nickon camera 3000D inauzwa iko katika hali nzuri, imetumika wiki moja tu.... Specifications zake na picha apoo chini unaweza kucheki... Bei ni Laki7 kamili, Bei inapungua kwa alie serious...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Tunazo sealing machine ambayo ipo dukani tayari zinafunga glass za plastiki kwa wale wanaopaki maziwa au juice inawafaa sana. ZOTE NI MPYA. Nauza 213,000 tu. piga 0718520552
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…