Hii ni sukum power inveter. 1400va/ 24v. Bei 400,000
Solar panel 100w ×3= 300w ka laki 400,000
Shimge water pump 0.7hp. 26m head. 150000.
Samsung smart tv.32. 800,000.
Hivi vitu...
Many professionals need Dstv installer Jobs. Asides acquiring the raw knowledge and experience it's good to attend Dstv,Azam course, where you can get accredited installation training to become a...
Nauza pikipiki aina ya skymark,
Ina documents zote, Nilikuwa naitumia kwa matumizi yangu binafsi.
Sababu ya kuuza: nina hama kikazi
Bei, 700,000
Napatikana Kimara
Nauza Camera Nikon D7000 with LENS 18-55 mm
1 Battery
4gb Memory Card
Charge
CD, Bag, Na Waya Zake Zote
Ina Mwez Mmoja Tokea Inunuliwe
1.4 Million 0715181872 Whatsapp me
Watanzania wenzetu, kampuni yetu ya TSHDF (www.tshdf.co.tz), kwa kushirikiana na kampuni ya nchini China inayoitwa Heilongjiang Jingxing Technology Co. LTD wameingia makubaliano ya kuanzisha mradi...
Specifications
Core i5
Ram 4gb
250gb HDD
Karibuni Sana
Price:550,000Tsh tu
Contact pm au 0673206639
Kwa wale was mikoani Nina weza nikakutumia
Zipo piece 3
Salama wakuu
Vitu vifuatavyo vinauzwa
1.Shelves
a. single sided 8 @210,000 = 1,680,000
b. double sided 4 @320,000 = 1,280,000
2. Fridge double door 1,200,000
3. Ac samsung original 1,000,000...
Nina mahitaji ya haraka ya nyumba ya kupanga. Iwe na sifa zifuatazo minimum: 1.) Self contained preferably bedrooms 2 to 3(tatu) , 2.) Iwe na AC, 3.) Iwe Fenced/gated with car parking ndani, 4.)...
Habari wana jamvi , natumai ni wazima.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kuanzia magomeni hadi kimara mwisho.
Nyumba iwe ya kuanzia vyumba viwili vya kulala sebule master na sitting room...