Habari zenu wanandugu.
Nauza kiwanja kwajili ya sheli
Kiwanja kipo Buza
Sqm 1000
Tank tatu Za Lita 30000 kila koja na tayari tank zimewekwa.
Kiwanja kina documents zote za sheli.
Bei ni milion...
Habari
Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia.
Kontena zipo ICD Nyerere Road.
Payment : 50% advance payment after loading
Mawasiliano...
Eneo linauzwa, Lina nyumba 3 ndani yake.
Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera.
Eneo Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo.
Ukubwa: SQM 1204.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 300...
Wakuu,
Container la futi 20 au 40 linauzwaje ? Hata kama ni la mtaani (used).
Na gharama ya kulisafirisha kutoka Dar to Korogwe - Tanga bei ni sh ngapi?
Naomba kuwasilisha!
Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani
-Haitumii wino wala haijazwi wino
-Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote.
-Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja...
Toyota Rav 4 (old model)
Year ;2000
Cc ;1998
Engine 3s
Color pearl white 🤍🤍
Full A/c
Full document
Milleage 138k
New tires 🛞🛞
No any fault
Music ✅
Android ✅
Bima ✅
Price 9.5milion
☎+255626682228
Nataka kufaham bei za magari kwa Zanzibar zimekaajee...
Kwa mfano Gari kama Harrier New Model bei inacheza kwenye sh ngap..na PRADO..??
Msaada kwenye tuta??
GARI INAUZWA TSH 13,500,000/= TU
Car name : Nissan Dualis
Year 2007
CC 1990 / 6 GEAR
COLOR SILVER
NB , Full android TV 10 inches + Subwoofer, Sunroof , 2W + 4wheel
Price Tsh 13,500,000/=...
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji.
Kama hali ilivyo kuwa ngumu...
ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia...
Kijana mwenzenu nimeona kukaa nyumbani jau nimeamua kuanza maisha getoni mwendo wa ugali dagaa sasa nambeni mniunge mkono kwenye biashara yangu ya nguo na viatu ntawapostia hapo chini ili nisirudi...
Habari wanajamvi,
Mi kijana wenu leo nimekuja kivingine. Mungu amekuwa mwema kwangu, na mwaka huu nna azimio la kubadili maisha ya watu kutumia ujuzi wa teknolojia nlo nayo.
Kwa sababu zilizo nje...
Eneo linauzwa Makumbusho.
Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower.
Sifa za Eneo:
Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road).
Liko barabara ya kuelekea kituo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.