Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot...
Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro.
Hapa huoendwa kutembelewa na watu...
Nauza kwa dharura kiwanja kilichopimwa chenye Title Deed chini ya Market Price.
Plot ipo maeneo ya Kigamboni mita chache kutoka majengo ya mradi wa maghorofa ya NSSF. Ukubwa wa hiyo plot ni mita...
Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139)
UKUBWA WA KIWANJA SQM 820
KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI
BEI: 110M...
Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi.
Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel
Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya...
Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake.
Kimetumika miezi mitano peke yake
Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya...
Ninauza kiwanja cha sqm 4400 - 5000 kiko Lingato ambayo iko wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam mpakani na Lugwadu ambayo iko Mkuranga Pwani. Ni maeneo jirani na kwa Pinda Kigamboni. Bei maelewano...
Habari zenu waungwana...
Naomba kuelekezwa mahali zinapouzwa mashine za kutengeneza mihuri, hapa Tanzania, vizuri zaidi kama ipo hapa hapa Dar es Salaam.
Nawasilisha.
Mfano wa hizi mashine
Tuna toa huduma za kufunga camera popote Tanzania na Zanzibar. Ofisini, Majumbani, Viwandani, Mashuleni, nk.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0773373839
Au fika ofisini kwetu
Buza kanisani...
Habari Wadau,
Nina frame mjini Morogoro, eneo la Sabasaba, eneo zuri kabisa kwa biashara ya nguo (nafuu), viatu, jezi, nk, jumla na rejareja. Pia ni eneo lenye mnada siku ya Jumapili.
Tatizo...
call:
Price/bei 22,800,000
Hotline: 0695022051
SUBARU FORESTER FOR SALE (EER
Cc 1990
Year 2012
mileages 51325km
Automatic
Adroid radio/bluetooth
Full Ac
Clean interior
Forg lights
New four tyres...
Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie
Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3
Bei ni sh 23000.
Contact 017009453
DSM NA MIKOANI TUNATUMA
Wakuu,nimepitia malalamiko mengi kuwa pressure cooker za umeme,zinasimbua sana.
Kampuni gani ni nzuri,nasikia zinatumia umeme vizuri sana..
msaada wazoefu.
Natafuta tajiri ambae anaweza akafika shamba kununua ndizi aina ya Mzuzu wa njano,moja ya ndizi nzuri na tamu iwe kwa kuchemsha,kukaanga.
Shamba lipo morogoro mvuha,barabara nzuri zimapitika muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.