Simu kali kabisa ipo kwenye Good Condition used for 2 month haina michubuko.. Price 900,000/=
Internal memory 128Gb
Ram 6Gb
Primary camera 16mp
Secondary camera 16mp
Dual sim
Android 6.1
Price...
Get more profit by making the proper use of technology in agriculture especially in rice because is the most used staple food world wide in many countries include our country Tanzania, in system...
Karibuni ktk Chuo cha Roho Mtakatifu ambacho kinatoa huduma mbalimbali.
Kwa maelezo zaidi jiunge kupitia link iyo::
Chuo Cha ⛪ROHO MTAKATIFU⛪
MUNGU AWABARIKI
Dining table-002
Karibu Autoguru workshop ujupatie Dining table yenye viti 4 kwa bei nafuu sana ya sh 499000 tu. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil...
Bed-024
Karibu Autoguru workshop ujupatie kitanda cha 5*6 kwa bei nafuu ya sh 280000 tu. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba...
Autoguru workshop Tunatengeneza na kuuza fenicha kwa Jumla na rejareja. Kwa fenicha kama:
Vitanda vya wakubwa na watoto
Double decker kwa shule/Hostel na majumbani
Dining Tables
Dressing Tables...
Toyota Hiace Super roof, iko barabarani, inapiga mzigo, hakuna dalali, mm ndio owner.., iko ktk hali nzuri kabisa, haina tatizo..
See pictures
Engine 3L..
Bei 21 Milioni, maongezi yapo...
Habari zenu wakuu
Nina uhitaji mkubwa wa desk top(full set) kwa maximum price of 180,000 iwe either used au mpya
Kwa anayefahamu duka kwa dar es salaam au anayeuza used tufahamishane
Kwa...
Kuna mtu anatafuta kioo compelete cha nokia xl,simu yake kabadilisha touch anatafuta nokia xl used yenye kioo complete kizima abadilishe, mwenye nacho tuwasiliane
Nauza laptop hp 8440p elitebook.
CPU core i5 intel(2.4Ghz)
Harddisk 500GB.
RAM 4GB
Matatizo yake.
-mkanda wa kwenye touchpad umekatika.
-Pia betri inakaa kwa lisaa limoja.
Bei laki 3 na 30 elfu...
Pata net za kisasa, zenye muonekano amazing, pana na ndefu, high quality, unaweza kufunga kwa stayle tofauti tofauti, ziko aina tofauti tofauti, zimebaki chache, bei ni Tshs. 55,000 tu. Karibuni sana
Habari wa JF,
Nilikua naulizia wapi naweza kupata 'dry ice' kama kuna member anafahamu naomba anielekeze au anipatie contact za wahusika.
Natanguliza shukrani
Kwa nini udongo?
Kama ilivyo kwa binadamu na wanyama pale unapokula chakula chenye virutubisho bora na vivyo hivyo mwili wako unvyozid kunawiri vizuri, je? Ili mimea ikue vzr inahitaj nini? Jibu...