Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iphone 6 bei 800,000 Iphone 6s bei 1,150,000 Iphone 6+ bei 1,150,000. Iphone 6s+ bei 1,200,000 Iphone 5s 500,000 Kwa maelezo na mawasiliano nicheck kwa 0713239001
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nauzaa simu mpyaa kwa bei nafuu Iphone 6 space grey 16gb price 750,000 Iphone 6 silver 16gb price 750,000 Iphone 6 gold 16 gb price 750,000 Iphone 6s gold 16gb price 750,000 Nichek kupitia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 120000 Tanzania. Orodha Ina:- Jina la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samsung galaxy s6 imetumika kwa mwezi mmoja, ina sifa zifuatazo RAM 3GB Internal Memory 32 GB Camera ya nyuma 16Mega pixel Camera ya mbele 5 Mega pixel Anadroid version 5 (unaweza ku update hadi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina shida na laki 4 atakayeguswa please anikopeshe dhamana tv samsung led 32 na documents nyingine narudisha mwisho wa mwezi tarehe 30/5 please
2 Reactions
4 Replies
816 Views
Wadau ninafunga duka,nauza rasta na wivings zilizobaki kwa bei ya punguzo. Rasta aina zote bei ya 1000(elfu moja tu} kwa pic moja wiving zipo za kuanzia 8000(elfu nane) mpaka 10000(elfu kumi)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HOT DEAL , FURSA MOTO MOTO Gari inauzwa ina vibali vyote na gari mpya kabisa usichanganywe na nambaC gari ilikua inaendeshwa na Mdada Full vibali haidaiwi chochote Bei ni 8.8 milioni Tu Kwa...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
Wapendwa kama kuna mtu anayeuza decoda tu ya Azam tuwasiliane awe mkaz wa dar! No Yangu 0754064993.
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Kwa anaehtaji lain za chuo au lain ya airtel Tanzania anichek via 0173099309/0783995659.thanks
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Photoprinter aina ya UNOMAT P128S Inauzwa... Mahali ilipo Dar es salaam Bei; 100,000. Pm kwa mawasiliano.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nauza Iphone 6s plus 16 gb internal memory rose gold price 1.2m bado mpya used for 2mnth only kwa waio seriuz ni dm
0 Reactions
13 Replies
3K Views
iPhone 6plus Space gray 16 GB +original charger+box lake Simu imetumika haina tatizo lolote wala michubuko Nipo dar es salaam 0675990776[emoji338][emoji338][emoji338][emoji338]
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta cm module iPhone 5 iwe good condition location mwanza mwenye nayo call +255753358283 bei tutaelewana
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Gari aina ya Rav4,CC 1998,Usajili T 588 CHQ lina hali nzuri kilometa 82,000. Location Kigoma.Open roof na engine haijafunguliwa. Bei 9,500,000 maongezi yanaruhusiwa. Kwa mawasiliano na maelezo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunapenda kuwajulisha wananchi wa Mtoa wa Arusha kwamba Kunapunguzo la bei kwa Cement na Mabati kama ifuatavyo: Items: 1.Cement 32.5grade 50Kgs # Tshs11,500/= 2.Mabati 30g *3mt kwa pc16 #...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
With 7 Rooms Price: 600$ per Month Direction:Kisota 3 Km From Ferry...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei 4.5m Ina Pistón 3 Kibali inadaiwa mwaka mmoja.. Gari inapatikana magomeni dsm Kwa mawasiliano piga sim 0715591141(serious buyers only) Ova
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Habari,wadau naomba kujua bei a frem ya biashara tanga mjini.Frem kubwa
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Ninahitaji mkaa wa kupikia kiasi kikubwa kuanzia gunia sita kwa mwezi.Mkaa ninauhitaji ni ule uliotengenezwa kwa maranda ya mbao au material mengine makavu, maadamu usitumie...
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…