NAHITAJI GARI YA KUBEBA KONTENA KIPISI CHA FUTI 10X2.5

chazi piere

Senior Member
Jun 12, 2016
131
71
Kontena liko arusha kwa moromboo linatakiwa kupelekwa kibaha kongowe.
Kontena ni tupu halina kitu chochote ndani hv unaweza ukalipakia na bado ukapakia mizigo mingine.
Gari inatakiwa iwe na crane ya kulipakia na kulishusha.
Contact:0758293598
20170415_151104.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom