Tuna chimba visima virefu na vifupi..kwa mashine za kisasa

saidy17

Member
Jan 19, 2017
37
4
9a2f8a14f9b5a85408f275dcc143a004.jpg
6c86d44ec66a2fa79312cbfdc01ae705.jpg
b6bce0b54defc77472162ea25e90b263.jpg
 
tupe contact zako mie nipo ukerewe huku kuna vichuguu vya kumwaga na wanasema kulipo na kichuguu maji yanakuwepo chini
 
Kwa maelezo inategemea na sehemu unayo taka kuchimbiwa hiko kisima...maana kila sehem inategemea na bei.asante

Maeneo ya Wazo hill, maji yako kuanzia 70 meters chini, nataka kiende mpaka 100 meters. Itakuwa bei gani?
 
Mkuu, ni Muhimu kueleza mnapatikana mkoa gani, na bei kwa mkoa/mahali ulipo ni shilingi ngapi kwa mita au kilomita, kuna accessories zozote mnazofunga, mnafanya ground water survey? Na kama mnatoa punguzo au bonus kwa wateja wenu? n.k..... ni akili ya kibiashara tu mkubwa. Usitake mteja akufanyie kazi yako.
 
Ok...nimekuelewa.tunapatikana dar.kila pande za dar huwa tunachimba.gharama zetu zinatokana na maeneo sababu kila sehem..mpka tupige suvey alafu ndo tutajua tunachimba mita ngapi na gharama ni kiasi gani ili uweze kupata maji saf na salama
 
Maeneo ya Wazo hill, maji yako kuanzia 70 meters chini, nataka kiende mpaka 100 meters. Itakuwa bei gani?
Maeneo ya wazo hili huwa tunapeleka mashine kubwa aina ya kitera kwaiyo tutakufanyia kwa bei ya sh.million 7 kutokana eneo hilo lina jiwe kali sana na mazingira ya huko
 
Kuchimba visima haya maeneo bei gani mkuu, Mbeya, Kilimanjaro, Morogoro Arusha nataka bei ya hayo maeneo na je bei yake itakuwa na Ufungaji wa machine?

Na je nikitoa advance ya hela maji yasipo patikana au machine ikaharibika na uchimbaji ukashindikana kuendelea hela itarudi?
 
tupe contact zako mie nipo ukerewe huku kuna vichuguu vya kumwaga na wanasema kulipo na kichuguu maji yanakuwepo chini
Bei za ukerewe zitakua juu sana mkuu sababu huko ni mbali sana na sisi tunapatikana dar es salaam.asante.
 
Mwanza hatuna branch .ila kama ikiwezekana nkutafutie contact za watu wa mashine aina ya hammer ili waje kukufanyia kazi
 
Maeneo ya wazo hili huwa tunapeleka mashine kubwa aina ya kitera kwaiyo tutakufanyia kwa bei ya sh.million 7 kutokana eneo hilo lina jiwe kali sana na mazingira ya huko

Kwa bei hiyo nakinga maji au kuna cost nyingine?
 
Back
Top Bottom