Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za jioni,flat screen tajwa hapo juu inauzwa bado INA dai kabisa ina miezi minne tu geto picha safi na angavu.bei tshlaki NNE na nusu tu.tsh450,000 tu.napatikana dar mtoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inahitajika gari aiba ya coaster iliyo kwenye hali nzuri namba D.Mwenye nayo aje PM tuyajenge. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
760 Views
Iko kwenye hali nzuri sana bei ni PM ipo Dodoma
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu, nina matikiti shambani natarajia kuyatoa wiki mbili zijazo yatakuwa tayari, nipo dar mbagala zakhem ndo ninapoishi. Hivyo mwenye kuhitaji kuhitaji kuyanunu shambani kwa bei ya jumla...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
√12 chicken egg √automatic whatsapp/sms:0682662558 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Nina choroko kilo 800 za blue nene nauza jumla,nipo dar es salaam Temeke. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa ipo iringa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Ninayo matikiti maji shambani natarajia kuyotoa wiki mbili zijazo. Hivyo natafuta mjeja wa jumla anicheck kwa 0657550354/0746019259 nipo dar mbagala zakhem ndo ninapoishi.
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngn za kimaendeleo vnapatkna kwa ukubwa wa 16/16mta mfumo wa squatter 0656 698232 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Anayetaka Tangawizi mbichi tafadhali wasiliana na Mimi ninauza kwa bei nzuri wasiliana na Mimi kwa namba 0716 766 263 ninaanza kuuza 100kg Karibuni
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunapokea wanafunzi wote wa kidato cha sita wanaotaka kurudia mitihani. Masomo ya sanaa, biashara na sayansi yanafundishwa na waalimu wenye weredi wa kutosha. Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi. Nipo Iringa na trekta nitalitumia Iringa. Msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Amani ya Mungu iwe Nanyi wakuu nina fedha za kizamani nauza kwa yeyote mdau wa hili tuwasiliane(pm). Sarafu ni za pre na post Uhuru kwa maana za Malkia na Kambarage, pia msaada wa soko kwa...
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Kuanzia mwez wa kumi ntakuwa na bidhaa izo hapo kwa atakayeitaj anaweza niona kwa number zifuatazo 0718040208 free delivery kwa mtu atakayechukua kuanzia kg 1000 kwa bidhaa ya nyanya na mboga...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Tecno C8 ipo sokoni, bei 150,000.Napatikana Kongowe-Kibaha.. Njoo PM tuyajenge.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habar, Nauza simu aina ya TECNO W4, simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote na imetumika miez 4 tu. Nauza kwa sababu nataka nipate pesa ya kodi ya chumba ya miez mitatu. Bei ni Tsh...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Solar water heater zenye ubora wa kudumu kwa miaka zaidi ya 20 katika ubora ule ule. Okoa bill ya umeme kwa kupata maji ya moto kwa kutumia jua. Unapaa maji ya moto usiku na mchana. Tunafunga...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mashine ya popcorn ilotumika na bado ipo ktk mazingira mazuri,mwenye nayo anicheki kwa namba 0755379743
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Imetumika wiki moja tu rist zote zipo box lipo tatoa earphone na chaja tu rangi gold, bei 220000 tu, napatikana DSM 0683666702 nicheck seriously buyer Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…