Wakubwa habari Leo tulipata Ugeni offisini kwetu Kutoka kwa Mtu Wa JF akisema Ameona tangazo la huduma zetu humu Hivyo Tukampokea alieleza shida yake aweze kutatuliwa ( Mapengo Kinywani kwa kukosa...
Habari
Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile,
▶️CAUSTIC SODA
▶️HYDROGEN PEROXIDE
▶️SULPHURIC
▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa)
▶️SODIUM CYNIDE
▶️SULPHONIC
▶️CAUSTIC SODA...
Habari wakuu nishawahi kutoa uzi wa kutafuta ajira but wengi mlinipa ushaur wa kujiajiri mimi mwenyewe. so nimerudi tena kwa wale ambao wanahitaji vitu kutoka amazon au kutoka china kua naagizisha...
Furahia umeme wa nishati ya jua (Solar Energy) kwa gharama nafuu ambazo zitakupunguzia ulipaji wa bili kubwa za umeme,utumiaji mkubwa wa mafuta kwa ajiri ya uendeshaji wa pump za maji.Karibu...
Heloo wadau, nina project yangu ya kilimo na ufugaji katika mkoa wa kilimanjaro, sasa nauliza iwapo naweza pata kampuni inayohusika na kufunga mashine za kuvuta maji kutoka katika visima vilivopo...
Imekomaa, ina 20years of age, urefu ni zaidi ya futi 20, ina average diameter ya 14cm. Ekari 16.
Shamba lipo korogwe Tanga Tanzania. Nataka mtu atakaenunulia moja kwa moja shambani.
Pia naomba...
Kwa wale ambao mnaotoka sehemu ya private unaweza kuwasiliana na mimi room kama unavyoiona bei yake 60k kwa siku usalama upo wa kutosha kwa mawasiliano wanaweza ukani ni dm ila location ipo makumbusho
Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo...
Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale.
Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.