Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Serikali ya Nchi ya China na kampuni ya SINO LIGHT INTERNATIONAL(CHINA) imetangaza fursa mpya kwa biashara ya mihogo mikavu katika Nchi ya CHINA.Mihogo mikavu zaidi ya tani laki tatu inahitajika...
1 Reactions
74 Replies
26K Views
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar wakuu kiwanja kinauzwa bei poa sana Mwanza Buswelu ilalila bei mil moja laki Saba tu ukubwa ni 25*30 Kwa mwenye uhitaji kind ni WhatsApp 0763772636
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello!/kwa mahitaji Usafi Wa maofisin,warehouse,malls,etc Msisite kuwasiliana nami..bei nzuri na affordable
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Tsh 200,000 Warrant mwaka mmoja Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery Contact :0714417739
0 Reactions
0 Replies
3K Views
BASICS, ADVANCE, ULTRA ADVANCE, Portrait Retouching, Video Editing, PSD FILES - ALL OF THIS IN ONE SINGLE COURSE Cost: Tsh 150,000 Delivery Mode: 23 hours on-demand vide...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
*MUHIMU* Wadau nauliza Bei za power trailer na Brand nzuri ni ipi, nahitaji ya kutumia maeneo ya kongwa.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta tender ya kisupply viazi vya chipsi na kupika kutoka njombe, kwa waliopo Dar, karibu tufanye biashara, Mawasiliano 0715808028.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hbr zunu ndg jamaa na malafiki Kama nilivyo waelezea hapo juu Ninamgodi wenye madini aina ya kopa nitafute simu namba 0621811970/0673673158 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Ninalo eneo lenye nadini aina ya kopa nitafute kupitia namba hizo 0673673158/0621811970 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Mashine Tatu Zinauzwa Zimeagizwa Toka Uk. Hazijatumika Tz Bado. 1. Canon Ir C 3200N Hii ni Printer, Scanner na Photocopying Machine Yenye Uwezo wa Kutoa Copy za Rangi na za Black and white kwa...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Wadau ninalo eneo la madini ya kopa kama uonavyo kwenye picha hapo chini hilo nijiwe lililo toka katika eneo hilo. Mwenye uwezo anitafute kwa 0673673158. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Aina ni IR 2022. Inaprint, kutoa kopi pande zote auto. Pia ina setting za scanner na fax, na mengine Kwa mawaziliano 0714 839852 Bei ni 1.5m. Mashine ipa hapa dar. Kwa mkoani itasafirishwa ila...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwenye kuhitaji hard disk, keyboard, monitor, WLAN card, Processor na n.k kutoka ktk laptop ya dell latitude e6530 vinauzwa...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Offer offer offer Samsung s7 original earphones Earphones kwa sasa zinapatikana katika mikoa mitatu DAR ES SALAAM, ARUSHA na DODOMA Kwa mawasiliano zaid piga namba 0753063142...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nauza Ram Mbili 4GB Kila Moja Nahitaji 40k Kwa Zote Contact: 0717421125.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi Nauza RAM Mbili Za Desktop Za 4GB Kila Moja Bei 40,000/= Kwa Zote. Mawasiliano 0717421125
0 Reactions
6 Replies
916 Views
Habari zenu wanajamvi. Nahitaji msaada kwa yeyote anaye fahamu bei ya Kulangulisha vitunguu swaumu katika soko la Kariakoo-Dar. Nipo Iringa nina vitunguu swaumu nataka kupeleka Dar. Kama kuna mtu...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Habari wadau nimeletewa mzigo na rafiki yangu kutoka SA iPhone 6 ipo locked kwenye icloud sasa baada ya kuhangaika sana bila mafanikio kuifungua ninahitaji kuuza kama spare. kama kuna mtu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
kama heading inavyojieleza, Nauza LCD display+touch screen digitizer assembly for iphone 6, ni mpya kabisa nimeagiza nje online ila ikatokea kabla haijafika nikawa nimeuza simu, bei 130,000 tu.
1 Reactions
6 Replies
941 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…