Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

JINSI DRINKERS ZINAVYOFANYA KAZI - Unakuwa na tank lako la maji ambalo una connect bomba toka kwenye tank kuja kwenye banda la nguruwe - Bomba ikifika kwenye la nguruwe mbele ya bomba ndipo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wapendwa wana Jf nauza hereni za bei nafuu English gold na za kawaida jumla na rejateja. Napatikana temboni 0624 084172
0 Reactions
10 Replies
6K Views
J & B ENTERPRISES TUTAENDESHA SEMINA KWA WAFUGAJI WA KUKU, MBUZI, NG’OMBE, NGURUWE NA SUNGURA. WASILIANA NA ENG. MR. MALINGUMU (0675807782) UPATE MAELEKEZO YA KINA.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
VYUMA vimekaza na UNCLE MAGU kasema tutafute GREASE,nimejiongeza nauza asali ya NYUKI WA wadogo nachukulia MANYARA na supply kuanzia lita 5 kwa Tsh 100,000/ mniunge wadau maisha ni kutafuta.
0 Reactions
0 Replies
961 Views
naiuza kwa bei ya 160000
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Salute wanabodi, Rejea kichwa hapo juu, nina kampuni ya ujenzi ambayo imesajiliwa mwaka 2015, kampuni imesajiliwa kufanya kazi za civil and building. Mwenye uhitaji tuwasiliane kwa mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau; Kwa anayejua wapi naweza kupata vifungashio kwa Dar es Salaam au Moshi Mjini na kwa gharama nafuu anijulishe pamoja na gharama zake Nahitaji vifungashio vifuatavyo: Maboksi,Mifuko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nmewaletea vifaa kwa ajili ya kupima bidhaa mbali mbali wakati wa usindikaji. Vipo vya aina mbili: 1. Yenye range 0-32 degree. Hichi kinaweza kupima kiwango cha sukari/ uzito kwenye juisi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
M.i fumigation company Kiboko ya wadudu wasumbufu (watambaao&warukao) kama unasumbuliwa na kunguni,viroboto, na nk nyumban&bustanini kwako na kama mifugo wako wanasumbuliwa na wadudu pia na...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nilinunua piki piki kwajili ya matumizi binafsi kwenye shuguli zangu za kila siku. Kwa sasa nimepata usafri mwingine kwajili ya shuguli zangu. Na mimi ndio mwenyewe piki piki hii na...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu. Nawaletea Mashine ya Ku Press Picha na Maandishi kwenye Tshirt, Vitambaa, mashati N.k kwa Bei Poa. Mashine Hii iPo Morogoro Mjini. Pia Ntakupa ABC za Tshirt Printing kwa...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Poleni kwa msiba wa kuondokewa na Mzee wetu Kingunge Ngombale Mwiru. Nakuja kwenye mada, Nyumba yangu inavuja, mafundi hawakunitendea kazi vizuri na kusababisha nyumba kuvuja hasa kwenye misumali...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nina acres 20, Miti ni mikubwa ya kuvuna ina miaka 11. Kila acre tsh. Million 4.5. Mteja anatakiwa kununua acres zote kwa pamoja. No Dalali, mwenye Shamba na Mteja tunatosha 0767514718
1 Reactions
2 Replies
960 Views
kiwanja kinauzwa chanika kisarawe, kinaukubwa wa acre moja na robo. kwa yeyote anaeitaji tafadhali tuwasiliane kwa no hizi +255784410223/+255767510223
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna application inaitwa kikuu jaman kuna vitu bei rahis sana kwa wenye android download kupitia play store
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Habari zenu, Naomba kama kuna mtu yoyote anaweza kunipa information ya watu wanonunuwa pembe za n'gombe na wananunua kwa bei gani kwa kila kilo. Nilishawahi kuskia kuna kiwanda kipo Dar cha wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza mashudu kwa ajili ya mifugo ,anahitaji awasiliane nami kupitia namba 0655460953 karibuni wote
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa kama ifuatavyo; urefu hatua 30 * upana hatua 20. Kiwanja hiki kiko mita 200 kutoka barabara kuu, na kipo eneo zuri kwa makazi na biashara.Kina msingi wa nyumba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Za Mchana Wakuu, Shamba heka 50 limepimwa, linauzwa. Lina Hati ya Kimila iliyotolewa Kisarawe Wilayani, Shamba hili liko umbali wa Kilometa 71 kutokea Mlandizi Mjini/Stand na Kilometa 93 kutokea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…