Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

hivi vitu kuna mtu anatengeneza! Naomba kujua bei yake na utaratibu kisha tufanye biashara. Nataka kama hizi lakini kwa jina langu.
0 Reactions
4 Replies
862 Views
Habari wakuu,,natafuta mtu anayeweza nifundisha jinsi ya kutengeneza furniture za kisasa ikiwemo royal sofas,coffee tables n.k,,,nimehangaika nimekosa nimeona nilete hapa kwenu wakuu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wakuu, ninatoa msaada wa cheti cha bima kwa wale wanaotaka kufungua biashara ya wakala wa bima. kwa anehitaji anipm.
0 Reactions
13 Replies
8K Views
New Samsung Note 5 32Gb Full Box Price 550,000 Call 0718028224
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Naomba kujua kama kuna mtu anayefahamu mtu au kiwanda kinachouza mifuko migumu ya karatasi (kama ile inayotumika kufungashia cement). Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauza simu tajwa hapo juu. Simu hii imetumika miezi 3 tu. Simu hii inatatizo, imepasuka kioo, lakini kioo kimeshanunuliwa hivyo ukinunua simu unapewa na kioo ukabadilishe kwa fundi...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Ndg Eneo Linauzwa Lipo Kinyerezi Kifuru Mtaa wa Hali ya Hewa Ukubwa wa Eneo 35*25 Lina Hati Miliki na Pia lina nyumba amabayo aijamalizika Eneo halina Mgogoro Bei Milion 17 Mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
350000/= tuu Nisms pm ukiitaji kitu Kati ya hivi NB: Simu zote ntakupa na zawadi ya glass protecta bureee (glass protecta included)
0 Reactions
40 Replies
14K Views
Wapendwa nauza nguo za watoto nzuri jumla zipo chache nilikuwa nauza sasa naondoka Tz kwa atakae hitaji..serious buyer only nichek whatsaap 0716973403 kwa picha za nguo
1 Reactions
1 Replies
2K Views
INFINIX NOTE 3 [emoji819] Dual Sim [emoji819]Storage 16 gb [emoji819]Ram 2gb [emoji819]Android 6.0 [emoji819] Fingerprint [emoji819]13mp Rear Camera [emoji819]5mp Front camera [emoji819]Display...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari waungwana. Kwa mara nyingine napandisha Uzi kuomba MSAADA wa kujua gharama Za vifaa vya Saloon n.a wapi naeza pata. NAHTAJI vioo viwili, machine Mbili na stabilizer. NAHTAJI MSAADA wenu...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
HadithiZetu - Android Apps on Google Play
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Job Title:Marketing Manager - Trainee Marketing Manager Job Purpose: Disnney International Consultancy is looking for a Marketing Manager as Trainee to join our fast growing Company in Dar Es...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Desktop RAM DDR3 2GB 1Rx16 PC3-12800U Laptop RAM DDR3 2GB 1Rx8 PC3-12800S Laptop RAM DDR2 1GB 2Rx8 PC2-5300S Desktop - Tsh 25000 fixed Laptop DDR3 -Tsh 20000 fixed Laptop DDR2 -Tsh 15000 fixed...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Habarini,nna 25million nahitaji gari kwa bei hyo,npo DAR
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Habari wakuu flat TV inahitajika being maelewano. Used ambao iko katika hali nzuri au ya upya. Bei maelewano. Nipigie simu au nibip 0653435142
0 Reactions
5 Replies
835 Views
We can negotiate..exchange deals nakupa note 4 mpya Samsung. .unanipa xiaomi mi max 2 or samsung s7 edge good condition..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba ushauri kwenu nataka kufungua kiwanda cha kufyatua matofali naomba mnijuze kuhusu jinsi ya kupata soko sababu mashine zote nimeshanunua tayari ss natafuta soko ntalipataje naombeni...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…