Wadau nauza simu tajwa hapo juu. Simu hii imetumika miezi 3 tu.
Simu hii inatatizo, imepasuka kioo, lakini kioo kimeshanunuliwa hivyo ukinunua simu unapewa na kioo ukabadilishe kwa fundi.
Napatikana Dar Es Salaam, kwa anaehitaji njoo inbox please.
Nashukuru.