Nina 25 million nahitaji gari kwa bei hiyo

Boiker

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
349
Reaction score
469
Habarini,nna 25million nahitaji gari kwa bei hyo,npo DAR
 
powa kuna gari nnayo inaitwa passo, ni nzuri sana ina kila kitu, ila kwenye hyo mil.25 ongezea laki 5 iwe mil 25.5, maana gari imesimama balaa.
cheki pm, nimekutumia namba zangu nipigie au na ww ntumie zako
 
Passo kwa bei hyo mkuu teh teh teh
 
Back
Top Bottom