Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuna construction project imepatikana mwenye mtaji njoo tushirikiane.
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Day care site for Rent Arusha For those who need a site/ house to rent special for day care in Arusha call 0653 954 094
0 Reactions
4 Replies
701 Views
Haya mzigo mpya wa Huawei Mobile Wifi Original kwa 130,000 tu na unaletewa popote ulipo Dar Buree. Piga 0715 473 462 4G portable universal router (mifi) GET #brandnew and genuine #4GUniversal...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niaje wadau kama una Nokia Obama org used na unaiuza jitokeze au njoo PM tufanye mazungumzo.
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Na Supply Samaki (Sato) wa Bwawani, wa ukubwa kuanzia 350g - 450g. Napatikana Dar es Salaam, Tegeta Nyuki. Mawasiliano Zaidi: 0762 664123. KARIBUNi.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ni almost new ina mwezi tu tangu inunuliwe,packed in its box. 0716676947
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Sijawahi kutumia bidhaa ya Apple, naona niwakati sasa nijifanye hivyo, mwenye bei nzuri au rahisi naomba ani PM, location Dar es salaam Ahsanteni isiwe ya uizi
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Hello Everyone Here is a company that I deal with we are Sky Shades its a private company registered by Brela in the United Republic of Tanzania under the ordinance (Cap 212) with certificate...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Cartridge for Sale Free Delivery Please contact us 0719826713 or 0719210905
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Habari wakuu. Naomba kujua, kwa hapa Dar naweza kupata wapi unga au mahindi ya njano? Kwa anaejua naweza kupata wapi naomba anielekeze. Ahsante.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza iphone 6s mpya kabisa bei laki 7 kamili. Storage 16 4G Ipo poa kila kitu mpyaaaa...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Je unamiliki duka, mini-supermarket etc? Tunauza point of sale software kwa bei nafuu kabisa gharama zinaanzia 350,000 tu. Hii software inakusaidia kujua mauzo na manunuzi yako. Kujua faida au...
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Jamani natakata kujuzwa kwa wale wanaojua umuhimu wa kua na page ya facebook maana mimi sijui naona watu tu wanapenda kuwa facebook page je ina faida gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF Leo tumekuja na utaalamu wa kutumia rangi kupaka ukutani kwa kutumia stencil/pattern na kuuacha ukuta ukiwa na mfanano wa wallpapers za kubandika. - Hizi rangi hudumu zaidi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari JF, Natafuta frame maeneo ya Dar sehemu iliyo changamka. Nataka kutoa huduma ya ketengeneza kompyuta na kutengeneza simu. Mwenye nayo au mwenye ambaye anajua mtu mwenye frame tafadhari...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Simu orignal inatatizo la simcard haisomi samtims inasoma yani netwek Ni orignal vingine vyte vinafanya kazi Sijibu msg zenu hpa kma inahtaji piga simu nipo dsm 0765114158
0 Reactions
4 Replies
670 Views
Mwenye kujua jina la hizi machines na gharama zake atujuze hapa,huwa zinatumiwa na taasisi kadhaa kutinda nyasi
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Nuaza kiwanja chenye ukubwa wa Square meter 400.Kipo umbali wa dk kutoka barabara kuu ya lami,Pembeni kuna nguzo ya umeme.Barabara ya mtaa ipo mpaka kwenye plot. Bei ni 3,700,000.Unaweza kulipa...
0 Reactions
4 Replies
844 Views
Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Nyumba mbili zina uzwa dodoma... Eneo zilipo nyumba hizi ni Ntuka... Una pita Uzunguni, Kilimani (Kijiji cha mwalimu Nyerere, Ikulu iliyo jengwa kwa ajiri ya mwalimu na vijana wa JKT) una panda...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…