Jamani naomba msaada wenu ninabiashara ya maharage je nfanyeje ili kupata wateja katka sehemu za mashule hapa kahama mjini naomba msaada wenu wadau asanteni sana.
Habari wandugu
Natafuta mtu (mwenye bidhaa za nafaka kama Maharage,mahindi,choroko n.k) atakayekuwa ananisafirishia kwa bus kwa bei ya jumla. Mi napatikana DSM kimara. Kama unazo njoo pm tuyajenge...
Ndugu wana jamvi, nahitaji chumba cha kawaida , self maeneo haya,
Mikocheni, kawe, namanga, kinondoni, chama. Budget ni 100k.
Asanteni, nawatakia derby njema
Hello wadau..
Mm ni mkazi wa mwanza nilikua nauliza pakupata nafaka kama ulezi, soya, mahindi ya bisi na karanga kwa jumla.. (Hata mbegu za maboga pia!)
Anayejua plz anijuze na bei kabisa.. Asanteni
Habari wana jf,
Ninauza simu used Iphone 6 spec grey na Iphone 6 S gold.
Iphone 6 spec grey ni 490000,
While Iphone 6 S Gold goes at 570000
Please pm for more information na picha.
NAHITAJI SAMSUNG GALAXY NOTE 4 ORIGINAL SIO CLONE WANAUZA MADUKA YAPI KWA DAR, NIMEONA MADUKA MENGI SANA WANA UZA CLONE. MAWASILIANO YANGU 0654121340 KWA MSAADA ZAIDI. AHSANTENI SANA.
Wadau kwa anayefaham maeneo ninayoweza kupata mashamba ya kununua kwa ajili ya kilimo location wilaya ya mkuranga,,,,
Naomba info if possible na contact za sight yenyewe naomba msaada kwa hilo...
Habari zenu wana wa jamii forums Tunachimba visima kwa mashine za kisasa kutokana na water level ya eneo pamoja na ufungaji pump popote ulipo Dar es salam. Mawasiliano
0688525288
,0653677815
Kiwanja kina ukubwa wa 20*20 kipo goba shule ya msingi dkk 10 kutoka barabara ya lami ya Goba Mbezi kwa anaetembea kwa miguu
Bei mil 10 maelewano yapo na hamna dalali
Kwa mawasiliano zaidi 0688204859
Subwoofer aina ya rising inauzwa ipo katika hali nzuri na bado mpya, imetumika miezi 2 tuu.
Specification zake;
bluetooth
Card reader
Usb port
Fm radio
Aux
Ina option mbali mbali za kuseti midundo...