Kiagoh92 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 101 Reaction score 56 Apr 28, 2018 #1 Wadau kwa anayefaham maeneo ninayoweza kupata mashamba ya kununua kwa ajili ya kilimo location wilaya ya mkuranga,,,, Naomba info if possible na contact za sight yenyewe naomba msaada kwa hilo. Zao kuu ni Mihogo
Wadau kwa anayefaham maeneo ninayoweza kupata mashamba ya kununua kwa ajili ya kilimo location wilaya ya mkuranga,,,, Naomba info if possible na contact za sight yenyewe naomba msaada kwa hilo. Zao kuu ni Mihogo
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,614 Apr 28, 2018 #2 Kwann usifunge safari ukaenda eneo husika ukaonana na uongozi wa kule(baadhi ya maeneo)?? Kwa ukweli na uhakika zaidi.. Maeneo yapo kule mkuu[emoji4]
Kwann usifunge safari ukaenda eneo husika ukaonana na uongozi wa kule(baadhi ya maeneo)?? Kwa ukweli na uhakika zaidi.. Maeneo yapo kule mkuu[emoji4]
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,403 Reaction score 31,659 Apr 28, 2018 #3 mumu said: Kwann usifunge safari ukaenda eneo husika ukaonana na uongozi wa kule(baadhi ya maeneo)?? Kwa ukweli na uhakika zaidi.. Maeneo yapo kule mkuu[emoji4] Click to expand... Umemshauri vyema, hapa atakutana na madalali njaa
mumu said: Kwann usifunge safari ukaenda eneo husika ukaonana na uongozi wa kule(baadhi ya maeneo)?? Kwa ukweli na uhakika zaidi.. Maeneo yapo kule mkuu[emoji4] Click to expand... Umemshauri vyema, hapa atakutana na madalali njaa
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,614 Apr 29, 2018 #4 Hahah na kweli dia hapa kila mtu atajifanya ana shamba mkuranga,.afate tuu taratibu mambo yatakuwa rahisi....
Hahah na kweli dia hapa kila mtu atajifanya ana shamba mkuranga,.afate tuu taratibu mambo yatakuwa rahisi....
Kiagoh92 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 101 Reaction score 56 Apr 29, 2018 Thread starter #5 mumu said: Hahah na kweli dia hapa kila mtu atajifanya ana shamba mkuranga,.afate tuu taratibu mambo yatakuwa rahisi.... Click to expand... U r r8
mumu said: Hahah na kweli dia hapa kila mtu atajifanya ana shamba mkuranga,.afate tuu taratibu mambo yatakuwa rahisi.... Click to expand... U r r8