Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Internal memory 32gb Colour-black Good condition( hainatatizo kabisa bado ni mpya) Price= Tzs 490/= Maelewano yapo kidogo.
0 Reactions
2 Replies
821 Views
1. CAMERA PRIMARY: 20 MP (f/1.9, 26mm, 1/2.4", 1.12µm), Carl Zeiss optics, 2. CAMERA SECONDARY: 5 MP, f/2.4, 1080p 3. STORAGE INTERNAL: 32GB 4. RAM--3 GB 5. OS: Microsoft Windows 10 6. SIM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Umesikia kuhusu vyakula vya Nigeria, umeona kwenye Tv au mitandao ya kijamii.. Hii ni fursa ya kipekee kuja na kuonja misosi mbalimbali ya Nigeria ndani ya Dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Tunakodisha na Kuuza vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wafanya biashara wa TV, ninahitaji smart TV size 46" or 50". Preferably Samsung or LG...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Iphone 6 spec grey 16gb Ram 1gb No scratch Bado inawaka Sijasahau#Bei ya awamu ya 5#520,000 Tzs Maelewano yapo kiasi PM or humu 0738559767 Mzigo upo Dar Karibuni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunatoa offer kwa watu watano kwa Siku ya ijumaa kufanyiwa service Air-condition yko pamoja na fridge au kifaa chochote cha kuzalisha baridi au joto Pia kwa wale wenye Incubator mbovu pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilipata kusoma kuwa kuna fundi saa maeneo ya Posta mpya. Huyo fundi anasifika sana kwa uhodari wa kazi yake. Anayejua point alipo naomba anijuze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Iwe nchi 24, 28 au 32 Isiwe imetumika muda mrefu(iliyo ndani ya warant itapendeza zaid) Bei ni maelewano kulingana na size na aina ya screen.. Mnunuzi yupo Dar hivyo muuzaji pia awe Dar au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza vitenge Wax pair 3 kwa Tsh 60,000/ Napatikana Dar es salaam. Kwa wakazi wa Dar unaletewa ulipo, Mkoani tunatuma baada ya malipo. Mawasiliano. 0621003284
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viti vya ofisini , unaweza kuvipandisha na kushusha chini imported from U.K . Bei kuanzia sh 150.000.00. vinapatikana Majohe Dar , Kama unavihitaji piga simu 0712652110
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kiwanja kipo-- Maeneo ya Kata ya Ndebezi shinyanga Mjini Ukubwa wa kiwanja -- upana hatua 25, urefu hatua 30 Bei ya kiwanja- 950,000/= Maelewano yapo Mawasiliano 0758 329...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HAbari wadau, Kuna mdau anahitaji Laptop PCS 5 na Desktop Complete PC 12 Photocopy Machine.Meza za Computer sio zile za kichina na viti vya office na Meza mbili za ofisi Pamoja na AC Mbili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Vimetumika kwa 4 month,mtungi upo full Ujapatika mikocheni Dar es salaam Bei 165k
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimefungua studio Mkoa mpya wa SIMIYU wilaya ya BUsega LAMADI, nahitaji mpiga guitar mzuri mzoefu kwa guitar la solo na bass, ambaye tutakuwa tukiwasiliana kila kazi inapotokea studio kwangu #NB...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunauza kuku aina ya sasso wana miezi 5 bei wanataga 16500 nipo mbeya.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msaada soko la kuku dar es salaam Msaada soko la kuku dar es salaam
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eneo lipo HIMO pale njia panda ya kuelekea moshi mjini na arusha, Eneo ni kubwa lina UREFU: Hatua 65 na UPANA: Hatua 45, kiwanja ni tambarare na kipo umbali wa takribani mita 150 kutokea njia kuu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ni nyumba kubwa ya vyumba 11 na frame nje Ukubwa wa kiwanja ni 25 kwa 23 Umeme na maji masaa 24 Nyumba ipo maeneo ya Chamwino Bei ni shilingi 20,000,000 Karibuni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…