Kwa wauza electronics: Natafuta Smart TV

Arsenalist1

Senior Member
Jul 13, 2015
163
49
Kwa wafanya biashara wa TV, ninahitaji smart TV size 46" or 50".
Preferably Samsung or LG...
 
Mtoa mada unahitaji Tv aina hii kama nimekuelewa...
4K HDR Smart TV
3D Smart 4K utra HD HDR..
sasa kwa hizi ni za 2016 model ndio zimetoka zilizo bora ni
1.Sumsung Ks 9500 range
2.Lg 0LEDE 6 Series
3..Sony KD 75XD 94o5
4.Panasonic Dx 802 range
na Hisence 4k ipo ya 2016
ukiangalia hizo model kwa inch yeyote unayotaka utaipata kama ukienda katika mawakala wa wauzaji hao...
 
Mkuu zipo samsung 48" kwa 1.5m, samsung 50" kwa 1.7m, lg 49" kwa 1.5m
d96283b1c67bec31c4130278ca67292a.jpg
0e16b57c7a475723e6f9f46dbbf06249.jpg
d9f0abe9822fe843dc07c3f4612cee95.jpg
 
Mtoa mada unahitaji Tv aina hii kama nimekuelewa...
4K HDR Smart TV
3D Smart 4K utra HD HDR..
sasa kwa hizi ni za 2016 model ndio zimetoka zilizo bora ni
1.Sumsung Ks 9500 range
2.Lg 0LEDE 6 Series
3..Sony KD 75XD 94o5
4.Panasonic Dx 802 range
na Hisence 4k ipo ya 2016
ukiangalia hizo model kwa inch yeyote unayotaka utaipata kama ukienda katika mawakala wa wauzaji hao...
Sawa, Ila mawakaka faida wanaweka kubwa sometimes Ili waweze compensate showroom expenses na staff... Huku ukipata kutoka znz inakua cheaper
 
Asenal1 nimekujulisha ili upate Tv bora unayotaka,Zanzb mara nyingi ni Tv za Hong Kong shamshui poo wanachofanya wale jamaa kule box lina specification hizo za 4k,smart ya 2016 ila Tv yenyewe ni ya 2014 au 2015 uwe unazijua ndio utajua kama huzijui utanunua tuu na kudhani umepata unachokihitaji kumbe sio...
 
Oooh hapo ni mekupata na nakubaliana na ww kwa hilo tena umenifungua macho,asante
 
Asenal1 nimekujulisha ili upate Tv bora unayotaka,Zanzb mara nyingi ni Tv za Hong Kong shamshui poo wanachofanya wale jamaa kule box lina specification hizo za 4k,smart ya 2016 ila Tv yenyewe ni ya 2014 au 2015 uwe unazijua ndio utajua kama huzijui utanunua tuu na kudhani umepata unachokihitaji kumbe sio...
Wewe acha kujifanya unajua sana, hamna lolote tv za huku ndo hizo hizo, wewe leta hiyo ya kwako ulonunua mlimani city nikuletee na ya kwangu then unionyeshe tofauti, unajifanya unajua sana kumbe unataka tu kuharibu biashara za watu,
 
Asenal1 nimekujulisha ili upate Tv bora unayotaka,Zanzb mara nyingi ni Tv za Hong Kong shamshui poo wanachofanya wale jamaa kule box lina specification hizo za 4k,smart ya 2016 ila Tv yenyewe ni ya 2014 au 2015 uwe unazijua ndio utajua kama huzijui utanunua tuu na kudhani umepata unachokihitaji kumbe sio...
Umekariri unadha kuuziwa bei mbaya ndo orginal, hao wanaokuuzia huko bei mbaya wengi wanakuja wakichukua huku huku
 
Abdulwahid sijawahi nunua mlimani city nanunua Hong kong au South Africa nimemjulisha ujanja wa kununua TV maana hata wanaotuma Tv tukiwa huko ndio wanavyofanya hauna Tv nilizotoa spec juu hapo wala sipo kushindana na wewe au mtu yeyote naeleza nachokijua wewe unajua wote wanafanya shopping mliman city?
 
Mkuu unachojaribu kuwaaminisha watu ni kwamba unaelewa sana kumbe sivo yeye hakusema anataka smart ya 4k, wewe umedakia 4k, sio kila smart tv ni 4k resolution, na zipo 4k ambazo sio smart, katika hizo ulizoorodhesha hapo labda hizo hisence na sony ndio hatujawahi kuingiza huku, lakini uchafu mwengine wote tumeshaingiza na tumeuza zote na wengi nilowauzia wamo humu humu jf, atokee yeyote humu aseme kama niliomuuzia haikua original bali ilikua imewekwa tu kweny box la original, bwana mdogo sisi biashara tumeanza zamani huna unachokijua kwenye ulimwengu wa tv. Kaa kimya kama una duka dsm hiyo uliyotumia sio njia nzuri ya kuwavuta wateja tafuta njia nyingine
 
Msifanye malumbano, alichoongea Abdulwahid ni sahihi maana nimesha nunua home theater ya Sony na the same ilikua dar for almost double Price... But at the same time anacho kisema Isanga family kinawezekana maana kuna ujanja mwingi unafanyika hasa kwa watu ambao sio dealer.. Kwangu nimependa ushauri wake wakua makini Sana kununua bidhaa kwa watu sio official distributor, katoa example ya wanoavyo badilisha box na item yenyew kitu ambaco kweli kinawezena, it doesn't mean kwamba wafabyabiashara wote wanafanya hili but umakini unahitajika.....
 
Mtoa mada unahitaji Tv aina hii kama nimekuelewa...
4K HDR Smart TV
3D Smart 4K utra HD HDR..
sasa kwa hizi ni za 2016 model ndio zimetoka zilizo bora ni
1.Sumsung Ks 9500 range
2.Lg 0LEDE 6 Series
3..Sony KD 75XD 94o5
4.Panasonic Dx 802 range
na Hisence 4k ipo ya 2016
ukiangalia hizo model kwa inch yeyote unayotaka utaipata kama ukienda katika mawakala wa wauzaji hao...
Price range
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom