Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Pikipiki iko vizuri haina tatizo!
1 Reactions
16 Replies
5K Views
mwenye xr 250r md 30 tuwasiliane wasap 0786363520
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Bidhaa nimetumika miaka miwili na mwanafunzi. Zipo dar es salaam magari saba karibu na chuo cha St. Joseph 1.Kapeti 2.meza 3.sofa set Bei ya 400,000/= Serios buyer Piga 0718363214
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu, Nahitaji kupata huduma ya kutotolesha mayai ya kuku kwa kutumia mashine tajwa hapo, Kwa anaemiliki na kutoa huduma hiyo jijini Dodoma, naomba ajitokeze tafadhali ataje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Excellent Training Center, tumeanza maandalizi ya kuandikisha wanafunzi wa programs ya Pre Form I 2018. Wanafunzishwa masomo ya Science na Kusoma French Bure kwa kipindi chote cha miezi mitatu...
0 Reactions
4 Replies
987 Views
KEYBOARDS ZA KILA AINA..............50000 TU Kwa keyboard za nje 80000 TU Kwa eyboard za ndani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanandugu eneo mwanza linauzwa limepimwa ukubwa 40*24, bei 9mil, na jengo hilo likiwepo ,maelewano yapo kama kweli una nia 0757785804
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo Dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
naitaji smartphone mdogo wenu apa nna laki moja nikipata Samsung au TECNO lkn sio y 3 au 4 ntafurahi zaidi na kama ina tatzo nambie lolote mapema NATANGULIZA SHUKRANI LOCATION :DAR #YUNGtemper
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu Kama kichwa kinavyosema,kuna ofisi nimepata maeneo ya Charambe viwandani.Sasa nataka nihamie maeneo ya huko,ni sehemu gani sasa nzuri naweza kukaa,ila uswahilini kabisa siwezi. Bei kwa mwezi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
mwenye kujua bei za fence na vipimo vyake Tafadhali tujuzane
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji antenna ya startimes nipo moshi Kama unayo njoo pm
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Ndugu wadau natafuta mashine ya kukatia nyama (Meat Saw Cutter) iliyotumika. Aliyenayo anaweza kunijibu kwenye uzi huu au SMS 0752145388
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari humu?? Nategemea kuhamia maeneo ya Kibaha mwezi ujao hivyo nahitaji nyumba ya kupanga kwa ajili ya familia iwe na walau vyumba viwili na sitting room. Pia nahitaji kama kuna frem kubwa ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mupo poa sana jf au vipi? samahan. anaejua range ya bei ya pikipiki aina ya boxer used anisaidie wakuu . ahsanteni nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jiko la umeme used lenye plate nne linauzwa kwa bei ya Tsh 130000 Lipo maeneo ya mbezi Beach goigi. Lina ovena pia.. Na ni zima ispokua plate mbili ndo hazifanyi kazi ni za kubadili.. Kwa anae...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wana Jf natafuta soko la viazi vitamu hasa mikoa ya Mwanza, Dsm pengine hata Arusha. Hii nikutokana na uzalishaji kuwa mkubwa maeneo ya wilaya ya Chato-Geita. Ambapo gunia moja ni linagharimu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mtoto PAULINA DICKSON:Msichana,Umri miaka 10 darasa la 4 Alipotea Jumatatu Julai 9 Igombe Mwanza. Aliondoka asubuhi kwenda shuleni Shule ya Msingi IGOMBE lakini hakwenda.Alibeba nguo za nyumbani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kariakoo Online ni unlocking server inayo uza factory network unlock codes za simu mbali mbali kwa kutumia IMEI namba ya simu. Pia tunafanya calculation za unlock codes za nokia Sl3 kwa kutumia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…