Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 559
- 1,008
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nna shida ya Mita ya LUKU mwenye nayo aniuzie ili niifunge kwenye nyumba ninayoishi, kuna utata Sana kwenye kulipa umeme Kwa siku 4 umeme wa elfu 25 umeisha. Kwa yoyote mwenye nayo aje DM