Salama wakuu,nauza mihogo ni ile myeupe mitamu...iko shambani mkuranga,heka 11, nauza kwa heka ili mtu achimbe mwenyewe...aina ya mihogo ni mkagile.Mawasiliano 0628705240
Year 2006
Month 2
Maker MAZDA
Name AXELA SPORTS
Chassis No. BK5P-218705
Transmission F5
Drive 2WD
Color BLUE
PS PS
PW PW
AC AC
Door 5
Seat 5
Grade 15C...
Habari wana Jamvi!!nna Gari harrier wanaita matako ya nyani reg namba ni B nna mpango Wa kuiuza inatembea haina tatizo lolote kama kuna mteja ama unaweza kupata mteja njoo pm tuzungumze bei 13 m...
Kwa wale mafundi umeme arusha ukihitaji fundi msaidizi nipo,umeme wakuongeza pia nafanya kama unahitaji kuongeza socket,taa au kuna tatizo linalohitaji fundi piga 0624040030
Print na Copy Kwa Bei poa na Ubora wa Hali ya juu.
Tupo Msasani Jued House DocPrint Stationery Karibu ujionee Tofauti na Stationery Nyingine.
0755009950
Ni aina ya lg nchi 32, ipo katika ubora wa hali ya juu na imetumika miezi 7 tuu, bei kuanzia 420,000/= (maongezi yapo), ipo mwanza nyamagana.
kwa maongezi zaidi pm tafadhali.
Apartments 6 zenye vyumba vitatu vya kulala zinapangishwa. Kila apartment ina master-bedroom moja, room 2 za kulala, kabati za ukutani za nguo, jiko, sebule,sehemu ya kulia chakula, na vibaraza...
Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa ni ya umeme,ina roller mbili,ipo na kibanda chake kabisa,ni Tsh 2,000,000....bei inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....
Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!
Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika...