Wakuu Habari
Kama heading yangu inavyojieleza hapo juu. Kwa wadau wa JF especially waliopo Daresalaam nahitaji mkopo wa 250k then nirejeshe 350k after a month. Dhamana nitakayoweka nitamwambia...
Lori na tela yake box body iko kwenye hali nzuri sana inauzwa bei poa kabisa vilevile zipo pia SCANIA 113 na DOLL tela zake zote box body mm nio menye hizo gari na sio dalali, kwa mawasiliano...
VIMEUZWA
Habari za jioni wakuu nauza vifaa vya saloon ya kike
1.draya moja
2.kioo kimoja kina frem ya alminium
3.troler yakuwekea rolers
4.kabati la alminium ukubwa ft 5
5.feni ya juu
6.viti...
Leo maeneo ya Bunju, Boko, Tegeta na Goba cement Dangote/Twiga Extra 1500-16000/= na Plus 16000-19000/=
Nimenunua leo Dangote extra Goba uwanjani 16000/
Nasikia kiwanda cha Wazo hakifanyi kazi...
Kiwanja kipo tegeta ununio maeneo ya kilimo kwanza, kina ukubwa wa 800sqm
Kina hati na kiko kwenye mitaa mizuri
Bei 60m
Bei ina maongezi kidogo
Mawasiliana na kuja kuona
0756060183
Kwa mahitaji ya picha,video, za mikutano,sherehe malimbali kama harusi ,send off na nyingine pamoja na passport size zenye ubora karibu MGONANZI PHOTO STUDIO.Wanapatikana ndani ya Garden ya...
habari za majukumu wana JF
siku chache zilizo pita nilisikia tangazo katika radio moja kuhisiana na UUZWAJI wa viwanja katika manispaa ya CHAMWINO (Dodoma).
sikulipata vizuri hasa katika swala...
Ninauza samsung yangu tab 4. 180,000 TZS....ina cracka kwenye kioo ila haina tatizo lingine...iko sawa kabisa. Nimeweka bei ya chini coz nahitaji hiyo pesa haraka.
Situmi mikoani..nipo wa azizi...
Naombeni kwa mwenye kujua eneo zuri la kilimo cha Mahindi,Ufuta,Mchele au Maharage kwa Mkoa wa Morogoro anijuze.Nina mtaji wa Millioni moja nataka kujaribu kilimo.Naomba mnifahamishe wilaya na...
Nina mashie ya kuzalisha miguu y sofa nahitaji mtu nimpea kwa makubaliano afanyie kazi , swala l kuiweka wap juu yake kama hajui namna ya kuitumia tamfundisha na soko namuunganishia nina watu...
Sifa za kiwanja
Nipo chanika mwisho zogo Ali
20*20m
Tofali 200 zipo
Kokoto kiasi
Vyumba vitatu, master moja
Public toilet
Dinning
Sitting
Niko
Mazungumzo yapo, piga simu tufikie muafaka
Simu...