Nauza line ya M-PESA

Nauza line ya M-PESA

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Nipo Morogoro mjini

Nauza line ya M-Pesa kama unahitaji njoo PM
 
Taja tu bei hapahapa wanunuzi tujue bei
 
Nipo Morogoro mjini

Nauza line ya M-Pesa kama unahitaji njoo PM
1. Imeasjiliwa ?

2. Vilelelezo vya usajili vinaweza kubalidilishwa kutoka vya kwako kuja vya kwangu? mfano kitambulisho. picha , sahihi, tin no ya biashara n.k

3. Ukitokea uhalifu wowote wa mtandao unaohusiana na laini hiyo , ni nani atahusika? mimi niliyenunua kwako wewe nisiyekujua ama wewe uliyemuuzia usiyemfahamu?

4. Je sheria za TCRA zinaruhusu uhalali wa hiyo biashara?
 
Wee sio mnunuzi na inaonekana huzifahamu hizi line,wakala wengi iwe wa Tigo au Voda M-Pesa wanatumia Till ambazo sio zao ukihitaji kubadili taarifa unaenda Voda na nyaraka zako tin number na leseni na kutambulisho ili taarifa zibadilishwe
 
Kwa nini mtu asisajili yake aje atumie taarifa zako? wengi mnakuwa meshaapiga peza za watu halafu mnakuja kuwauzia watu kesi
 
Kwa nini mtu asisajili yake aje atumie taarifa zako? wengi mnakuwa meshaapiga peza za watu halafu mnakuja kuwauzia watu kesi
Mkuu si una Tin namba,leseni kitambulisho na laki 5 basi nenda Voda wakakutengenezee ya kwako mabishano ya nini?
 
Mkuu si una Tin namba,leseni kitambulisho na laki 5 basi nenda Voda wakakutengenezee ya kwako mabishano ya nini?
Hapa nakushauri unaniona mbaya. Shida ulizonazo sasa hivi ambazo zimekufanya mpaka umeshindwa kuendeshabiashara hiyo, na sasa unataka kuuza line kinyume na sheria isikupotoshe ukaja kupata matatizo baadaye.

1. Vielelezo vyote ni vya kwako, likitokea tatizo la matumizi mabaya ya hiyo line mtu wa kwanza kukamatwa ni wewe . Inapokuwa kwenye umiliki wako unauwezo wa kui control isihusike kwenye uhalifu, lakini unapomuuzia mtu anaweza asiwe mwangalifu na akafanya jambo mtu wa kwanza kukamatwa ni wewe.

2. Sasa hivi kuna mauhalifu mengi, kwa kupitia mpesa ambapo kuna hao wanaosema hiyo hela nitumii kwenye namba hii, mara kuna watu wanaokosea kutuma pesa kwa kuweka namba tofauti ya uwakala, sasa basi, anaweza kuitoa fedha kwa till hiyo halafu kama hela ni nyingi anaisigina line ni kutokomea, wanapokwenda kwenye usajili wanakutana na kumbukumbu zako hujakamatwa??

3. Hii biashara ni ya kienyeji kabisa na ya hatari na kinyume na sheria na watu wengi wamepata matatizo makubwa kupitia line zao walizouza kienyeji namna hii. Nakushauri tafuta njia nyingine hata kama biashara hiyo imekushinda achana nayo wala usithibutu kufanya unavyotaka kufanya. Ni sawa na kununua bunduki kiuhalali ahalafu ukaenda kukodishia majambazi wakikutwa nayo ama ikikutwa kwenye tukio utasema si wewe uliyekuwa mwizi?
 
Back
Top Bottom