Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

BIASHARA: Machine ya juice ya miwa ya kisasa zaid ..ni kubwa inatumia njia mbili yaan ya umeme (electric motor) na generator pale inapo kuwa hakuna umeme au umeme unapo kuwa umekatika ...inakabat...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari wakuu.... Ningependa kujua kampuni binafsi ambazo zinajihusisha na biashara ya kuuza nyumba mpya kwa Tanzania.... Najua kuna miradi ya NSSF na NHC lakini ningependa kujua kama kuna kampuni...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
nina shida ya camera ya kushoot picha.. yenye mwonekano kama huu kwenye picha, kama kuna mtu anauza au anafaham wp naweza kuipata anisaidie
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani habarini zenu wakuu, Samahani nina CPU yangu imeunguza video card ilipigwa na rad if kama kuna wauzaji wa accessories za computer nisaidieni location Tukuyu, Mbeya.
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Internal storage 16GB RAM 2GB Procesor 1.6GHz Camera 14mp Bei 160000/= Nipo dar ubungo maziwa nipigie kwa namba 0653830835
0 Reactions
4 Replies
790 Views
Habarini wadau, mimi nafanya biashara ya forex, kwa mtu yeyote anaehitahi signal ya EURUSD kila siku naweza kuwa namtumia, signal yangu katika siku tano za wiki success rate yake ni 4 or all five...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ninauza Samsung Galaxy j5 mpya full boxed Specification Android v5.1 lollipop Front camera 5mp, back camera 13mp Internal storage 8 GB, RAM 1.5 GB CPU 1.2 GHz Quardcore Bei ni sh .500000 or 500k...
1 Reactions
1 Replies
13K Views
Tunapatikana Arusha, tupigie au tuandikie tutakufikia. Kitabu hiki ni kizuri sana kwa wanafunzi wa ngazi zote. Lugha yake na mifano iliyotumika inamfanya mwanafunzi kuelewa kirahisi na maelekezo...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
habari wadau nina market kubwa ya green tourmaline and surphirenzuri interm of 4C'S yaan CLARITY NZURI,CARAT WEIGHT KUANZIA GRAM 3 NA KUENDELEA VERY GOOD COLOR AND VERY GOOD CUT MY REGARDS MY...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninauza viwanja 2 vilivyoshikana jumla vina sqm 3614.. Kuna maji ya kisima Dawasco Na umeme wa 3 phase umefika Kinafaa Kwa makazi Shule Guest house/ lodge Kanisa
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu! Yanahitajika magari yaliyo katika hali nzuri kwaajili ya shughuli za kampuni,yawe katika hali nzuri.Kama una dereva wako unaweza kuja nae akafanya kazi mpaka mkataba...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Karibuni simba Arts Group Tunakaribisha mialiko yenu wenye hotel mbali mbali za kitaii ,maharusi, na wenye kuhitaj michoro ya ukutani Na ya tinga tinga kwa mawasiliano0718923981 Zanzibar
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Habari wanajamvi vitu vifuatavyo vianauzwa haraka kwani nishida imetokea gafla. Sony home theater WATT 1000 inaspika 5 ndogo na base 1. BEI 400000 TV inch 30 aina ya NOBEL. 320000 Vyote ni vizima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii Gari inauzwa Milioni 3.9 kama unavyoiona imetunzwa vizuri sana. Service yake inafanywa mara kwa mara. Ni gari ambayo unanunua na kuondoka, haigongi chini na ina shockups genuine mpya nyuma na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Picha Hapo Juu ina Mahusiano ya Moja Kwa Moja na Maelezo Hapa chini na Moja ya Kazi Niliyofanya. Habari Nafanya Restoration ya Taa za Magari ya Aina zote kwa Gharama Nafuu Kabisa ya Shilingi Elfu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji vijana 5 waliotayari kwa ajili ya kupata mafunzo ya kuflash simu (sofware) mafunzo nitayaendesha zilipo ofisi zangu kigamboni. kwa muda wa wiki2 mfululizo watakao kuwa tayari naomba...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Mwenye nayo anipatie bei....
0 Reactions
4 Replies
892 Views
habari wadau.. natafuta laptop nzuri ya kufanyia kazi... kama graphic desidgner.. karibuni wenye nazo.. mnaoziuza....isizidi laki 8.. wajanja wajanja mkae pembeni.. najua nachokitaka... leteni...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
naombeni msaada kwa MTU anayefahamu sehemu za wanunuzi Wa Nafaka kama maharage kwa jumla Wa uhakika kwa dar es salaam,
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…