Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Napenda kuuliza wadau kuwa hivi ni kweli siku hizi serikali imefunga usajili kwa taasisi za kidini? Naomba ufafanuzi tafadhali. Na kama kuna mtu anayejua taratibu zote au anayeweza kufanya kazi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mtu mwenye ufahamu kuhusu mbegu ndefu za mpunga tuwasiliane. Zinahitajika data kamili(wapi inapofaa)kwa kivupi ni kwa ajili ya kulima nchi nyingine. Hivyo ili iweze kusafilishwa kwa ajili...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Je wewe ni mkazi wa Dar es Salaam, Morogoro au Dodoma, na unamiliki "Day Care Centre" au "Pre-/Primary School' na ungependa kuiendesha kisasa ili kuendana na ushindani katika soko la elimu? na je...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
ipo tmk keko ina vyumba saba na frame tatu ipo ktk hali nzuri bei ni 75million 0674673925 0755438225
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji box ya kuflashia simu iwe miracle box au Volcano, pia kama ikipatikana nyingine inayoweza kusupport simu zenye chipset ya mtk, spd, etc. Box iwe mpya au used, location...
1 Reactions
0 Replies
704 Views
Habari za mchana wana JF, hasa wa jukwaa hili la biashara na ujasiriamali. Tuna kampuni ya inayotoa huduma za professional cleaning (USAFI ) maofisini na sehemu zingine mbalimbali. Huduma zetu...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Habari wakuu nipo Dar, natafuta shde nets au insect nets USED ...wenye nazo tuwasiliane 0676 669470
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Habari za leo wanajukwaa, nauza bajaj yangu aina ya TVS King ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu. nimemnyang'anya dereva jumapili iliyopita maana sound zimekuwa nyingi na haleti hela. nimeipaki tu...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Kwa mwenye simu husika hapo juu nahitaji ikibidi muda huu huu tusipoteze time. Bajeti 130k Ukiwa upo soko kuu , lango , buzuruga , national au buswelu itakuwa mpango sana. Ciao.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Asalaam Naombeni msaada wa sehemu ninayoweza pata tea tree oil. Wasalaam......
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Location: Pongwe, Tanga. Umbali kuelekea main road: 1 km Maji yanapatikana 24 hrs, 7 days. Umeme upo karibu, hakuna haja ya nguzo. Vyumba vitatu, kimoja master Kuna Public Toilet Kuna Jiko na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wandugu Mtu yeyote anaefahamu au kuhusika na Upatikanaji wa hii bidhaa Kwa jumla NaMuomba Tuzungumze, Ni mashine ya kunyolea inayotumia betry pia inachajiwa katika Umeme.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
ipo Nkuhungu Dodoma. INA Maji na Umeme. Tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo ilipo: Area C, karibu kabisa na barabara ya Arusha. Aina ya nyumba: Ex NHC. Vyumba viwili, jiko, sebule na choo. Standard yaani haijafanyiwa marekebisho ya ziada. Kodi: shs 160,000 kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inapatikana Dodoma kisasa, INA vyumba vinne ambavyo ni master mbili na ambavyo havina choo viwili. bei 350000 kwa mwez
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sallam..napenda kuwakumbusha wana jamvi kwa uhitaji wa vyumba na nyumba za kupanga bado zinapatikana kwa bei nzuri tuu Dodoma mjini..popote upatakapo .Usihangaike wala kujichosha tupo kwa ajili...
0 Reactions
70 Replies
25K Views
Wadau Habari za Sikukuu Naomba kufahamishwa kwa mwenye ufahamu juu ya bei za mashamba (kwaajili ya kilimo cha mpunga) maeneo ya Mikese, Kijiji cha Fulwe - Morogoro. Naomba kujua bei ya kuanzia...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kama unahitahi nyumba au chumba cha kupanga Dodoma nichek dm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibuni sana wageni mnaokuja katika Jiji jipya lenye fursa kibao. Kwa anayetafuta Nyumba/vyumba au viwanja kwenye Jiji la Dodoma namkaribisha sana tufanye nae mawasiliano kupitia 0789805698 au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…