Tunauza Hoverboard zenye Ubora

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wadau wa Scooting,kwa sasa tuna vifaa kwa ajili ya scooting(hoverboard),hivi vinaweza kutumika kwa ajili ya watoto na watu wazima pia.
Vifaa hivi vina ubora wa hali ya juu na bei zetu ni karibu na bure,tunauza kwa reja reja na jumla
1540271692955.png
1540272380022.png

Ukubwa wa Battery ni 36V 2.4AH,
Tairi size yake 6.5 Inch, baada ya kuchaji unaweza tembelea kwa umbali wa 12-15 km
Bei kwa moja ni USD 150
1540272430701.png

Ukubwa wa Battery ni 36V 3.6AH, baada ya kuchaji unaweza tembelea kwa umbali wa 15-20 km
Tairi size yake 10 Inch,
Bei kwa moja ni USD 250

1540273001096.png

hoverboard hii unatumia mikono au ukitaka unatumia magoti kukata kona na bei yake ni USD 300
Karibuni sana
1540273339433.png

Hii inaitwa Electric Scooter,ina faa pia kwa watoto zaidi ya miaka mi 4 nakuendelea, Mzigo ni mpya kabisa
kwa sasa tunapatikana kupitia mawasiliano haya

engmtoleraibrahim@yahoo.com
 

Attachments

  • 1540271748504.png
    1540271748504.png
    640 bytes · Views: 24
  • 1540271791709.png
    1540271791709.png
    2.1 KB · Views: 25
  • 1540272461378.png
    1540272461378.png
    3 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom