SAMSUNG S6 EDGE PLUS ......
Ram 4GB
Internal Memory 32GB
Displacy Inch 5.7
Used for 4weeks
Its Gold
4G support
Haina tatizo lolote
Ni mpya kabisaaaaaa
600k-500k
Maahamba ktk sehemu maeneo ya Kibaha Misugusugu, bei milioni 7 kwa hekari moja maongezi yapo, Hekari Mia zinapatikana, karibuni wadau PM kwa maelezo zaidi Kama upo na interest
Kwa Huduma Za Kiufundi Umeme
Kufanyiwa #Wiring za Majumbani Na
#Wiring za Mashine tuwasiliane kupitia namba hizo apo chini
0652112988
Tunapatikana Morogoro na Dodoma
Habari Wana Jukwaa.
Nimejitokeza Kwenu nikiwa na Bidhaa 4 Mkononi Mwangu.
Naunganisha:
1. Tigorusha
2. Tigopesa
3. Epod
4. Usajili.
Kama una ofisi na Unahitaji Kutoa huduma yoyote miongoni...
Mzigo unauzwa kama spare imepasuka display tu
HP intel core i3
HDD 1TB
2HOURS BATTERY
NA CHARGER PIN NYEMBAMBA
UNAWEZA NI CHEKI PM TUMALIZANE
Bei HDD 1 TB NAVUNJA KWA 80K
CIRCUIT(motherbord) YA...
Habari wakuu?
Ninahitaji TV aina ya zile za kwenye mabasi. Mfano ni kama kwenye picha niliyoambatanisha. Nataka niiweke dukani kwangu.
Ninaomba muongozo naweza pata wapi hii TV na bei zake...
Natafuta chumba cha Kupanga kiwe kikubwa cha kutosha Kama ni self itapendeza zaidi...!! Kiwepo maeneo ya Magomeni mitaa ya Magomeni (Kagera...Mikumi..Usalama...mwembe chai) Offer yangu ni 70-80...
SAMSUNG S6 EDGE PLUS ......
Ram 4GB
Internal Memory 32GB
Displacy Inch 5.7
Used for 4weeks
Its Gold
4G support
Haina tatizo lolote
Ni mpya kabisaaaaaa
600,000tsh TUNAONGEA
Habari za majukumu ndugu yangu. Nahitaji msaada wa kuunganishwa na kampuni ya ndege ya mizigo itakayeza kunibebea mifugo yangu kwenda uarabuni kwa bei ya $80,000 tu na siyo zaidi. Kila safari moja...
Habari wakuu nataka kujua wale watu ambao wanauza gb 30 kwa 15,000Tsh unatumia miezi mitatu ni kweli au matapeli na vipi kuhusu kisheria hicho kitu ni legal.
Nauza tecno K7
Android version 7.0
Camera back 13mpx,front 5mpx
Ram 1GB,storage 16Gb
Line 2...inakaa na charge hatari..haina tatizo lolote bei 170,000.....kama upo serious nichek...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu napangisha Chumba kimoja kukubwa sana eneo kilipo kipo kimara kilungule mwendo wa dk 5 kwa bajaji adi barabara kuu ya morogoro sifa ya chumba kina ukubwa wa 13...
Khabari za mda huu wapambanaji!
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Sisi ni vijana tulohitiku chuo kikuu hapa nchini, tumeamua kuungana kufanya biashara ya dagaa, tumeshaanza na...