yakobo11
JF-Expert Member
- Aug 10, 2016
- 510
- 739
Habari za majukumu ndugu yangu. Nahitaji msaada wa kuunganishwa na kampuni ya ndege ya mizigo itakayeza kunibebea mifugo yangu kwenda uarabuni kwa bei ya $80,000 tu na siyo zaidi. Kila safari moja , hiyo ndege iwe na uwezo wa kubeba kondoo 2400. Na kila boksi liwe na uwezo wa kubeba kondoo 240.
Maelezo mengine utakuja PM.
Maelezo mengine utakuja PM.